Picha hii unaisoma vipi ?

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1396249068.796647.jpg
    25.6 KB · Views: 762
application of david cameroon theory....
 
kwamba raia ni wakali kuwazidi hata police
 
serikali yako ndiyo mtetezi wako wa mwisho...
____MSIPANIKI____
 
Wanaochukia polisi wote ni waarifu kama waarifu wengine.Ni kama mtu kumsaliti baba na mama mzazi.
 
hapa dogo ameona bora abakie chini ya imaya ya geshi letu adilifu kuliko kubakizwa na RAIA we ye uchu was damu name roho yake
 
Mwizi anamuomba anamuomba mwizi mwenziwe amuokoe.
 
Ningejuwa nisinge...afande nisaidieee..
 
Wananchi wenye hasira kali wameagiza matairi, ​Nisaidie afandee ....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…