Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
unattumia cable kuzihamisha au unatumia memory card? jaribu kati ya hivyo vitu viwilininayo digital camera yangu aina ya cannoin na zina picha nilizopoiga ila kitu cha ajabu ni kwamba nikitaka niziangalie na kuzistore kwenye laptiop hazionekani ila kwenye camera zinaonekana kwa yeyote mwenye ujuzi plz naomba anidirect nifanye nini ili niweze kuzistore kwenye laptop
ninayo digital camera yangu aina ya cannoin na zina picha nilizopoiga ila kitu cha ajabu ni kwamba nikitaka niziangalie na kuzistore kwenye laptiop hazionekani ila kwenye camera zinaonekana kwa yeyote mwenye ujuzi plz naomba anidirect nifanye nini ili niweze kuzistore kwenye laptop
inawezekana zimekuwa hidden so ukiwa kwenye computer nenda kwenye folder option/view/show hidden files then click apply alafu ok...ukimaliza hapo rudi kucheki kama zipo..kama zilikuwa hidden utaziona..kama hujaziona basi angalia njia unazotumia kuconnect. kama ulikuwa unatumia memory card badili chomeka kwa cable alafu angalia results...
natumia memeory card
nimeview hidden files ila sasa limekuja folder linaitwa .HPIMAGE.VFS nimejaribisha kufungulia kwa picasa imeshindikana anymore help plz kama inawezekana
Memory card imeingia virus. ilikuweza kuziona computer unayotumia lazima iwe conected na internet hapo unaweza kuziona na ziburn fasta kwenye CD
ignore the .HPIMAGE.VFS file. Just angalia utaona folder linaitwa DCIM.kama umeunhide hidden files bado hulioni basi also unhide operating system files
Ok kama zko kwenye memcard jaribu kufanya kinyume ya hio solution nltoa apo juu.. Copy picha kama 2 hv kwenda kwenye storage ya camera then chk tena kwny pc kama znaonekana.zipo stored kwenye mem card cz nikiitoa hazionekani na inaniambia no mem card found