Picha Elimishi na Kumbukwa

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
42,775
Reaction score
50,867
Kuna picha ukizitama zinahubiri hata bila kuzungumza au kuandika chochote, Mwenyezi Mungu atawalipa



 
Kuna picha ukizitama zinahubiri hata bila kuzungumza au kuandika chochote, Mwenyezi Mungu atawalipa

View attachment 2040366

View attachment 2040367
Hii picha inatafakarisha sana. Hebu muangalie Nyerere anavyomtolea Edward macho ya kuuliza na kutafakari. Kama vile kuna jambo ambalo hakutegemea kulisikia kutoka kwa Moringe na sasa kwenye brain yake anahoji uaminifu wa Sokoine kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…