Picha: Edward Lowassa mpaka kieleweke

Mafisadi wana mbwembwe sana. Lakini haiwasaidii kitu
 
hivi akikosa urais, atafanyaje? najaribu ku imagine, kitatokea nini kwa huyu mzee? atakuwa mgeni wa nani? pamoja na kwamba napenda angepata urais.
 
Kama utanipa ushahidi kuwa walao kwa sekunde moja kuwa Lo Hasa aliwahi kukemea ufisadi bungeni au hata nyumbani kwake au aliikataa hii katiba ya kina vijisenti na mwenzake six basi nitakuwa mfuasi mzuri wa huyo Lo Hasa
 
Sindo huyu lowasa baada ya kusomewa mashtaka yake jinsi alivyo shiriki dili la richmond,yeye badala ya kujibu hoja akaandika barua ya kujiuzulu alafu bosi wake akaitia saini barua yake,eti leo anaanzisha makundi yakumpigia debe awe raisi huu ni upuuzi kuliko upuuzi wenyewe..
 
Kama utanipa ushahidi kuwa walao kwa sekunde moja kuwa Lo Hasa aliwahi kukemea ufisadi bungeni au hata nyumbani kwake au aliikataa hii katiba ya kina vijisenti na mwenzake six basi nitakuwa mfuasi mzuri wa huyo Lo Hasa

Hilo ndilo swali mhimu,akilijibu vizuri namimi ntamuunga mkono japokuwa maswli tuliyonayo kuhusu Lowasa ni mengi
 
CC DR. FaizaFoxy kuna mtu anataka kujichukulia ufahari kwa ngongo wa mwengine sijajua ni nani kati ya JK VS EDO.

Kwani hili nalo siyo kwenda kinyume na Kanuni ya Chama -yaani kutokufanya Kampeni kabla ya Muda?
 
Last edited by a moderator:
hivi akikosa urais, atafanyaje? najaribu ku imagine, kitatokea nini kwa huyu mzee? atakuwa mgeni wa nani? pamoja na kwamba napenda angepata urais.

Atakuwa kama Mzee Mrema!!!!
 
Urais waTanzania unatafutwa wenye nguvu...
 
inahitaji moyo kujiunga na mafisadi. Mungu atuepushie mbali.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…