Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
hahahaa........Bado zamu yako Mfunyukuzi!!
Duh kwa kosa gani anyways I can stop contributing in JF if need beBado zamu yako Mfunyukuzi!!
Duh kwa kosa gani anyways I can stop contributing in JF if need be
Bado zamu yako Mfunyukuzi!!
.. ngoshwe si ndio hapo hata mimi nashangaa nadhani jamaa ni bwabwa kwa kweli mtoto wa kiume uliyekamilika hata wakija kama ni akina dada au kaka valangati litakaloanguka hapo lazima mmoja wao akalzwe ICU. Sasa huyo mpaka huo muda wa kuvalishwa kanga na kupakwa rangi uko kimya tu??.....Mh!kampigwa na hao akina dada, ni Kidume kweli huyu?
habari kamili nenda www.dina marios blogspot