Ambiente Guru JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 2,626 Reaction score 1,098 Feb 18, 2013 #1 Imekumbana nalo Barabara ya Kinondoni/ Makaburini… Tusaidiana wale wanaoielewa hiyo lugha. Attachments Dar China (2).jpg 98.7 KB · Views: 798
Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,411 Reaction score 1,153 Feb 18, 2013 #2 He! inamaana huna taarifa??? mbona tayari nchi washauziwa wachina, we uko dunia gani??
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,236 Feb 18, 2013 #3 wanamaanisha kuwa, "ufikapo eneo hili ujue uko china na sheria zinazotumika ni za china, Ahsante ~ sheshe".
wanamaanisha kuwa, "ufikapo eneo hili ujue uko china na sheria zinazotumika ni za china, Ahsante ~ sheshe".
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Feb 18, 2013 #4 China ndani ya Tanzania
The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Feb 18, 2013 #5 Muda si mrefu na sisi tutakuwa na China town.
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,428 Feb 18, 2013 #6 Toka ile issue ya ridhiwan kudakwa na yale maswala kule guangzhou! Wachina wametamalaki sana hapa tanganyika! Sasa hivi hata hawaogopi tena, hata dada zetu wanawaoa!
Toka ile issue ya ridhiwan kudakwa na yale maswala kule guangzhou! Wachina wametamalaki sana hapa tanganyika! Sasa hivi hata hawaogopi tena, hata dada zetu wanawaoa!