Picha: CUF Wanapambana Kiume Marekani

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
Na Amour Abalhassan

ISMAIL JUSSA; MKURUGENZI WA MAMBO YA NJE NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA WA CUF ANAETAMBULIWA NA JUMUIYA YA KIMATAIFA AKIKIWAKILISHA CHAMA;

Ameandika ktk ukuta wake wa fb:
Ilikuwa ni heshima kubwa kuwa sehemu ya jopo la washiriki wa mjadala "Threats to Democratic Elections Around the World: Perspectives from Malaysia, Tanzania, Germany, South Africa and Ukraine" ambao ulifanyika The Willard InterContinental Hotel, 14101 Pennsylvania Ave NW, Washington, DC 20004.

Jopo hilo lilijumuisha Igor Novosad, kutoka Civic Position Party - [HASHTAG]#Ukraine[/HASHTAG]; Ismail Jussa, kutoka Civic United Front - [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG], Fami Fadzil, kutoka Parti Keadilan Rakyat - [HASHTAG]#Malaysia[/HASHTAG], Jonathan Moakes, kutoka Democratic Alliance - [HASHTAG]#SouthAfrica[/HASHTAG], na Michael Georg Link, kutoka [HASHTAG]#OSCE[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Germany[/HASHTAG].

16938465_1266298556741345_6324364302767379087_n.jpg

16939637_1266298576741343_8941200672596848776_n.jpg

17103297_1266298570074677_6403472230573708282_n.jpg
 
Na Amour Abalhassan

ISMAIL JUSSA; MKURUGENZI WA MAMBO YA NJE NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA WA CUF ANAETAMBULIWA NA JUMUIYA YA KIMATAIFA AKIKIWAKILISHA CHAMA;

Ameandika ktk ukuta wake wa fb:
Ilikuwa ni heshima kubwa kuwa sehemu ya jopo la washiriki wa mjadala "Threats to Democratic Elections Around the World: Perspectives from Malaysia, Tanzania, Germany, South Africa and Ukraine" ambao ulifanyika The Willard InterContinental Hotel, 14101 Pennsylvania Ave NW, Washington, DC 20004.

Jopo hilo lilijumuisha Igor Novosad, kutoka Civic Position Party - [HASHTAG]#Ukraine[/HASHTAG]; Ismail Jussa, kutoka Civic United Front - [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG], Fami Fadzil, kutoka Parti Keadilan Rakyat - [HASHTAG]#Malaysia[/HASHTAG], Jonathan Moakes, kutoka Democratic Alliance - [HASHTAG]#SouthAfrica[/HASHTAG], na Michael Georg Link, kutoka [HASHTAG]#OSCE[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Germany[/HASHTAG].

View attachment 476637
View attachment 476638
View attachment 476639
Uungwana wa cuf umetukuka ! Unajua kama wangetaka wangeweza kupambana kwa njia zilizozoeleka na wangeshinda mapema tu , lakini kuepusha umwagaji kidogo wa damu wameamua kutumia busara .
 
Huwa mambo kama hayo humalizika kwa kupiga picha tu na wahusika kurudi makwao! Faida hua inabaki kwa mshiriki kuwa na yeye alishashiriki kongamano! Hakunaga impact yoyote!
impact ipo kubwa..hayo mawazo yako ya kiccm .
YEYE ANAFAIDIKA BINAFSI KUPATA ELIMU YA DEMOCRASIA . CHAMA CHAKE KINAPATA PUBLICTY Katika medani za kimataifa na Mwisho wa yote ndio maana CUF UPANDE WA znZ Kina mipango makini sana kiasi ya kukubalika znz na kuweza kuwashinda ccm kwa mbali sana uchuguzi ulopoita.
akili kubwa pale ndio hualikwa ..znz ccm haina akili kubwa
 
I wish ungejua impact yake kwenye Uchumi wetu usingefungua mdomo wako kuandika upumbavu huu.

Na kama mliona hamtaki vyama vingi kwanini mlikubali kuvianzisha??

Na mnaogopa nini kuacha hizo nafasi zenu??

Kaka yangu Sababu kubwa ya kufanya vurugu zote hizi ni kwa sababu ya matendo yenu maovu,mmeiba na kuifilisi nchi kabisa.

Majambazi na Majangili yote yako chini ya CCM na yamekuwa yakilindwa kila awamu.

Ati sitofukua Makaburi wakati mmefisidi Bilioni nane za kivuko kibovu,Barabara mbovu, Mwendokasi uko kama mwendokonokono,wizi kila unaposimama.Halafu mnajitutumua kutukana Upinzani.

Mnakimbizana na akina Gwajima wakati hata vyeti navyo mmenunua hamna haya kweli mmebaki kutoa Hotuba za kuishi,kuleta na kukinai.Hamna cha maana alichofanya mpaka sasa zaidi ya kupanda Chuki,visasi na ubaguzi.

Awamu ya Chuki visasi na ubaguzi. Hakuna chochote mlichoachieve mwaka wa pili huu mnakimbizana na akina Lema,lissu na Mbowe.
 
hivi jusa anajua kiingereza kweli au alienda na mkalimani

Nadra kukutana na mwanasheria asiyemudu lugha ya Kiingereza. Hata hivyo, nadhani hujapata kumsikiliza akizunngumza kwani ungebaini bila shaka yoyote kuwa upeo wake ni mkubwa.
 
impact ipo kubwa..hayo mawazo yako ya kiccm .
YEYE ANAFAIDIKA BINAFSI KUPATA ELIMU YA DEMOCRASIA . CHAMA CHAKE KINAPATA PUBLICTY Katika medani za kimataifa na Mwisho wa yote ndio maana CUF UPANDE WA znZ Kina mipango makini sana kiasi ya kukubalika znz na kuweza kuwashinda ccm kwa mbali sana uchuguzi ulopoita.
akili kubwa pale ndio hualikwa ..znz ccm haina akili kubwa
Hakuna lolote zaidi ya kuuza sura tu kama hivyo !
 
Hana mke kama Yesu, lakini kuoa sio lazima hata ndani ya vitabu vya dini, pia unaweza kuoa hata ukiwa mzee haikatazwi, kwa Mr, swaala la kuoa halina mashiko (pointless)
 
Huwa mambo kama hayo humalizika kwa kupiga picha tu na wahusika kurudi makwao! Faida hua inabaki kwa mshiriki kuwa na yeye alishashiriki kongamano! Hakunaga impact yoyote!
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
Huwa mambo kama hayo humalizika kwa kupiga picha tu na wahusika kurudi makwao! Faida hua inabaki kwa mshiriki kuwa na yeye alishashiriki kongamano! Hakunaga impact yoyote!
"Mabadiliko ninayotarajia kuyafanya ni kwa faida ya Zanzibar na watu wake na kila mmoja wetu atayafurahia, tumechoka kuburuzwa na Tanganyika" by Dr. Shein. CCM wakaanza kujambajamba!!
 
CUF Dt shain hawezi kuachia madaraka tusubili 2020 tuseme ukweli bila kumung'unya maneno
 
Huwa mambo kama hayo humalizika kwa kupiga picha tu na wahusika kurudi makwao! Faida hua inabaki kwa mshiriki kuwa na yeye alishashiriki kongamano! Hakunaga impact yoyote!
Kibongobongo zaidi lakin nchi za wenzetu matunda ya vitu kam hizi yapo!!

Back
Top Bottom