Picha: Bvr itasoma hapa kweli

Nina wasiwasi kama huyu atapiga kura...
 
Haa haaa sidhani kama itasoma.
 
Eti naskia zilikataa kwa yule wa pesa za mboga! Sununu mchicha kwa 10m lazima uote sugu!
 
huyu inaonekana alikua anaifanyia piloti siku nyingi
 
Ila huo mkono akushtukizie kibao cha shavu taaah! unaweza ripoti polisi umepigwa risasi wakaamini...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…