Picha: Bashe, Nape na Zito; hawa ndio mashine ndani ya bunge kwa sasa

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
7ca477dfa5b001a3ed2f8915cd259b91.jpg

Hawa ndio wabunge mashine kwa sasa....

Hapa wamekosekana. Tundu Lisu, Kangi Lugora, Upendo Peneza, Dr. Dalali Kafumu!...
 
Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
 
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri.
Tuorozeshee hayo maslahi ya kila mtu hapo bungeni
 
Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
thibitisha, sio unabwabwaja tu,
 
Wote hao wana stress: Nape ana stress ya kupoteza influence (sauti) kwenye chama na mbaya zaidi kupoteza uwaziri,
Bashe ana kinyongo cha kukosa uwaziri, na Zitto ana stress za kuona nyota yake haing'ai kwenye chama chake kipya alichokianzisha kwa mategemeo kuwa wana CCM kibao wangehamia huko na kuchukua nchi!
So kila wananchofanya wenzao, kwao hugeuka mwiba. Na sasa wamejitoa ufahamu kushambulia hata yale ambayo walipaswa wayashauri au kuyaunga mkono... They are nothing less but the wounded apples!
 
Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
Na chenge?
 
Kwani ukiwa mbunge unapoteza sifa ya kuwa na urafiki na lowasa, membe, rostam nk? siasa siyo vita na pia adui yako siyo lazima awe adui wa watanzania wote. hao ni wabunge wa kuchaguliwa, weminiwa kwenye majimbo yao na wapiga kura wao,
 
Back
Top Bottom