Hoho
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 320
- 83
Wakuu! leo ndo kampeni zimefungwa igunga tumeona namna wananchi wa igunga walivyo pata mwamko, leo balozi wa ccm kajiunga na chadema na kufichua maovu wa lio kuwa waki ya fanya akiwa ccm ndugu zangu kweli viongozi wa ccm siyo wa zuri na hawakitakii mema wananchi wao, video ninyo namna alivyo ongea kwa uchungu sana cha ajabu wao leo walipangiwa viwanja vya barafu lakini hawakujitokeza na kuingia mitini nitawaletea picha zao walivyo kua wengi.