Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,548 Reaction score 284,049 Feb 9, 2015 #41 Umefanya kazi ya kutukuka sana ! Hakika kuna siku Mungu atakurudishia jasho lako.
R RockSpider JF-Expert Member Joined Feb 16, 2014 Posts 6,859 Reaction score 2,762 Feb 9, 2015 #42 CCM imesababisha maafa makubwa sana Kilombero .. Huu ni wakati wa kuingoa na kasha kuizika kabisa ... Migogoro ya wakulima na Wafugaji sasa basi...
CCM imesababisha maafa makubwa sana Kilombero .. Huu ni wakati wa kuingoa na kasha kuizika kabisa ... Migogoro ya wakulima na Wafugaji sasa basi...
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,548 Reaction score 284,049 Feb 9, 2015 #43 Next time tupeane taarifa mapema ili tuweze kuchangia pesa za mafuta , magari au vyote kwa pamoja kutegemeana na mahitaji , ukombozi ni lazima .
Next time tupeane taarifa mapema ili tuweze kuchangia pesa za mafuta , magari au vyote kwa pamoja kutegemeana na mahitaji , ukombozi ni lazima .
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,548 Reaction score 284,049 Feb 9, 2015 #44 RockSpider said: CCM imesababisha maafa makubwa sana Kilombero .. Huu ni wakati wa kuingoa na kasha kuizika kabisa ... Migogoro ya wakulima na Wafugaji sasa basi... Click to expand... Umeandika jambo zito sana .
RockSpider said: CCM imesababisha maafa makubwa sana Kilombero .. Huu ni wakati wa kuingoa na kasha kuizika kabisa ... Migogoro ya wakulima na Wafugaji sasa basi... Click to expand... Umeandika jambo zito sana .
L Lua JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 704 Reaction score 305 Feb 10, 2015 Thread starter #45 Erythrocyte said: Next time tupeane taarifa mapema ili tuweze kuchangia pesa za mafuta , magari au vyote kwa pamoja kutegemeana na mahitaji , ukombozi ni lazima . Click to expand... hakuna shaka tutaendelea kuwasiliana.
Erythrocyte said: Next time tupeane taarifa mapema ili tuweze kuchangia pesa za mafuta , magari au vyote kwa pamoja kutegemeana na mahitaji , ukombozi ni lazima . Click to expand... hakuna shaka tutaendelea kuwasiliana.