Picha: Baada ya Trump kuonesha dalili za kusitisha vita na Iran, Netanyahu aamua kuingia front mwenyewe kuongoza vita

Picha: Baada ya Trump kuonesha dalili za kusitisha vita na Iran, Netanyahu aamua kuingia front mwenyewe kuongoza vita

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,653
Reaction score
8,000
Niaje waungwana

Leo ndio nimeuona ujasiri wa Netanyahu kupitia picha hii, jamaa hana hofu yoyote ya mapambano baada ya kuvaa gwanda na kuliongoza jeshi lake katika vita yao na Iran.

Aisee kwa picha hii huyu kweli jasiri 🤣🤣🤣🤣
FB_IMG_1774297038624.jpg
 
Niaje waungwana

Leo ndio nimeuona ujasiri wa Netanyahu kupitia picha hii, jamaa hana hofu yoyote ya mapambano baada ya kuvaa gwanda na kuliongoza jeshi lake katika vita yao na Iran.

Aisee kwa picha hii huyu kweli jasiri 🤣🤣🤣🤣View attachment 3562120
Nasikia alikuwa akiishi kwenye bunker yenye gorofa 8 kwenda chini
 
Israel na Netanyahu wake kwa Iran bado ni watoto sana. Mafanikio yao siku zote ni yale ya kuwaua tu viongozi wao.
 
Israel na Netanyahu wake kwa Iran bado ni watoto sana. Mafanikio yao siku zote ni yale ya kuwaua tu viongozi wao.
Ni kweli mkuu. Lakini baada ya vita, nina imani hilo swala litaenda kuchunguzwa na kufanyiwa kazi kwa kina na Iran.

Si unaona baada ya kamata kamata ya spy wa Mossad kule Iran kumepelekea ile style ya kuuwa viongozi wa Iran kupungua au kuisha kabisa.
 
Back
Top Bottom