Unaweza inawezekana and you gonna make it mkuu, physics ni somo rahisi sana. Kuna kitabu kinaitwa Nelcon na university physics tulikuwa tunakata maswali na tunajua solutions na majibu yake. Utapiga paper kama private candidate.