Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,574
- 9,783
Formula ya moment of inertia haipo kichwani tenaA hollow cylinder of radius 100cm rotates about its axis which is vertical. A small body remain in contact with inner wall.
If the frequency of rotation is 180 per minutes.
i) Coefficient of friction between the body and the cylinder
ii) Frictional force between the body and cylinder if the mass of the body is 50gram
baba swalehe
Deadbody
Mwifwa
Sawa mkuuFormula ya moment of inertia haipo kichwani tena
Nmemsaidia ngojaFormula ya moment of inertia haipo kichwani tena
Nimekupata baba swaleheSource ya centripetal force ni static friction
Ambayo formula yake ni = uR , u ni coefficient of static friction na R ni mg
Haya substitute kwamba uR ni sawa na mw²r nadhan hyo w ( angular velocit unajua jins ya kuitumia )
W ni sawa na 2pie over T ambay ni sawa na kusema 2pie frequency
Nimeitwa kazn siwez kuandk sa hvi
Daaahh, umeanza kurejesha mafaili yangu.Kitu kikiwa kwenye cylinder ili kiendelee kubaki
Centrifugal force ambayo ni opposite ya centripetal lazima ibalance na friction static force basi mchez umeisha nmekuelekeza hapo chin
View attachment 1122017
Teh ...Daaahh, umeanza kurejesha mafaili yangu.
Phyz bana, concept ndio inazaa formula, mwisho unapachika tu midata...
Mimi ipo dormant hapa, mida wowote nikiiboost inakuwa activeTeh ...
Ngumu sana kusahau physics [emoji28]
Senzota [emoji23][emoji23]Daaahh, umeanza kurejesha mafaili yangu.
Phyz bana, concept ndio inazaa formula, mwisho unapachika tu midata...
Hujasahau ha ha haKitu kikiwa kwenye cylinder ili kiendelee kubaki
Centrifugal force ambayo ni opposite ya centripetal lazima ibalance na friction static force basi mchez umeisha nmekuelekeza hapo chin
View attachment 1122017
Ebu nikumbushe kuhusu senzota....Senzota [emoji23][emoji23]
[emoji28]dogo alete mawe ya kina muncasterMimi ipo dormant hapa, mida wowote nikiiboost inakuwa active
Ebu nikumbushe kuhusu senzota....
Teh ..Hujasahau ha ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pond boy, mwalimu wa physics wenu alikuwa nani?