nina picha yangu moja
shiny c, ambayo inafanainia na unachotaka, so nimeupload hii instead. nina group langu la fans wa mpira pale fb na ndo huwa naweka cover photos. nimetumia illustrator kutengeneza jina liga bbva na psd file yake hii hapa. ungesema watu waweke .psd files zao hapa kuonyesha authenticity ya kazi zao