Photocopy mashine za Kisasa used

Photocopy mashine za Kisasa used

usedphotocopytz

Senior Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
174
Reaction score
23
Canon ir 1730
Zinapiga kopy 30 kwa dakika moja
Zinauwezo wa kugeuza zenyewe
Zinaprint mbele na nyuma DUPLEX
Zina scan pia
Zina network system
Rahisi kutumia
Spea zake zinapatikana
Wino wake unapatikana na unaweza kujaza pia
Nzuri sana kwa biashara au matumizi mengine
Zinatunza kumbukumbu ya kila kopy inayotoa ( inakusaidia kujua mahesabu yako )
Zimetumika nje ya nchi
Unapewa warranty
Karibu

Tupo kariakoo. Eneo la gerezani mtaa wa lindi na sikukuu nyumba namba 33
Tupo jirani na hoteli ya saphire au nyuma ya msikiti wa KIPATA

Wasiliana kwa watsapp au piga
0715331233
20180315_155100.jpeg
20180315_132240.jpeg
20180315_132231.jpeg
 
Unagawa bure mkuu, biashra ni yako haina haja ya kuogopa kutaja bei! Vinginevyo sio yako unataka kutupiga cha juu individualy kimiya kimiya
 
kakimbia tangazo lake. njoo na bei mkuu.

ile sera ya WE DARE TO TALK OPENLY sio kwa majukwaa ya siasa tu. hili jukwaa linateswa na homa ya usiri. bei tutaambiwa twende pm. yehodaya auziwe 650,000, ushmen anunue 800,000 na robert atandikwe 900,000 bidhaa aina moja!
 
Ukiona mtu anatangaza biashara afu haweki bei ujue kuna mawili ni dalali au mwenye mali lakini Greedy
Nawasilisha
 
We jamaa mwenye tangazo hili vipi?? Mbona unatuweka au haujui principle za kufanya matangazo?? jamaa unatupa wasiwasi.
 
Mods ondoweni taka hii. Hakuna haja ya kutuwekea mapicha yasiyo na maana, tukihtaji kuziona tutadownload wenyew.
 
Bila Bei hili tangazo lako ni useless kabsa
 
Back
Top Bottom