Photocopy Machines Zinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Photocopy Machines Zinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kagalala, Apr 27, 2012.

 1. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Wadua
  Nina photocopy machines zinauzwa kwa bei ya chini kabisa (fast sale) kama ifuatavyo

  Canon NP6028 TZS 700,000
  Canon NP6030 TZS 700,000
  Canon IRC3220 TZS 1,500,000 (ya rangi)
  Canon IR2270 TZS 1,900,000
  Canon IR2870 TZS 1,900,000
  Canon IR2800 TZS 1,900,000
  Canon IR3570 TZS 2,600,000

  Na nyingine nyingi

  Kama unahitaji photocopier yoyote ya rangi au b&w basi niPM au piga simu 0715 497079. Tuko Dar es Salaam, Magomeni Mapipa, Seaboys Plaza
   
 2. Bond James

  Bond James Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, vipi kuhusu warranty?
   
 3. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Je ni mpya au mitumba?
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kaka warranty imekaaje? na hizi machine zinaambatana na accessories zake?
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa hii bei lazima ni mitumba.., halafu hizi np series (majembe ya kweli zinapiga kazi sana) huwezi kupata brand new kwa sasa as canon walishaacha kuzitengeneza wakaamia kwenye gp series na sasa wapo kwenye ir series (image runners) kwahio usitegemee kwamba utapata np series brand new (ila ni mashine nzuri kwa biashara)
   
 6. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mashine zetu zote zina warranty ya miezi 3 isipokuwa hatuwezi warranty kwenye issue za umeme na tunashauri mteja awe na stabiliser kwa sababu ya matatizo ya umeme wetu
   
 7. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Warranty ya miezi 3 utapata isipokuwa kwa matatizo yanayosababishwa na umeme (inabidi uwe na stabiliser)
   
 8. m

  majogajo JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  uu zitakuwepo mda mrefu au ni biashara ya msimu? maana nahitaji ku raise mtaji wangu, baada ya miezi ka mitatu ntahitaji.......photocopy machine,
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,683
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  Dah! Hiyo bei ya kutupa! ... Very cheap.
   
Loading...