ukitaka kuiona karaha ya ushabiki wa mpira uish nyumba moja na hasimu wa timu unayoshabikia halafu ukute unamuheshimu sana. unaweza kujikuta unanyimwa uhuru hivi hivi
Umebugi Mkuu EMT. Kama target yako ni Wenger, mafanikio yake hayapimwi hivyo. PSG wamemtema Carlo Ancelotti kwa minaajili ya kumnasa Arsene Wenger. Unapata picha gani hapo?
its so nicce mwenye betting ingawa sasa inapokuja kwamba timu yake inacheza inabidi umsaidie kushabikia lol!
siwajua wababa nyie hupenda mara zote wake zenu wawe nyuma yenu??