Photo Studio Equipment

arnolds

Senior Member
Joined
Oct 10, 2009
Posts
105
Reaction score
57
Amani kwenu wadau...
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham
sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo points vile). nahitaji vifaa kama digital camera (canon EOS 60D), Tripod stands, lighting kits, backdrops/backgrounds, photo printer nk..
nashukuru kwa msaada wenu!.
 
Photographers na wataalamu wa hayo mambo watakuja kukwambia
 
vipi kaka na ma modol wauza sura hutaki....
 

Wewe upo wapi?
Nijue nakuelekeza vipi
Mimi ni Graphycs&Desgner @ Timamu Effect
 
Kama hufahamu umekuja kufanyaje, kama si ungefunga mdomo wako wenyekufaham ndo wakarespond
 
mkuu unataka used Au vipya ?.
 
Wewe ni kichaa nini mambo ya biashara tangia lini ukayaleta huku cc kwani macho yako hayaoni business forum au matangazo madogomadogo kuele nenda pande za kajitangaze sio huku alaaaa!
 
siwezi jua uko mkoa gani ningekuelekeza maduka ya vifaa hivyo utakavyo? labda unitajie mkoa gani ulipo,
 
omba mods thread yako waihamishie kwenye matangazo madogo madongo,hapa tunapiga msuba kwa kwenda mbele.
 
Wewe ni kichaa nini mambo ya biashara tangia lini ukayaleta huku cc kwani macho yako hayaoni business forum au matangazo madogomadogo kuele nenda pande za kajitangaze sio huku alaaaa!

"knowledge talks,..wisdom listens"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…