ndio maana inapigiwa upatu na akina Kabanga ni duka pichaUsiloliweza weye wenzio waweza. Mbona kitu cha kawaida tu haswa kule Geita? Nenda kwa mzee Kigoda Handeni uone. Mbona ng'ombe waligeuka nyani na kuruka tawi mpaka tawi???
Sayansi hii ingefundishwa vizuri Fast Jet zingekosa wateja
Mbona hajavaa nguo rasmi??!