Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
nimezimia...
Kuna watu wasumbufu...,
Unampaje no yako mtu kama nsumbufu?
Mwingine hata hujampa..ka leo kuna mtu nimekuta miss call kapiga usiku nikampigia.. unasemaje hana la maana umepata namba ya sim wapi kuna mtu alimpa.., ananiuliza jina nikamwambia aliekupa namba mwambie akupe na jina

Kamchepuko kangu kalinisave: Kikwete.
Aaah wewe! Mie ni mtifua vumbi huku madongo kuinama ntakuwaje kikwete bana?Mmmhhh...au ndo wewe kweli
Aaah wewe! Mie ni mtifua vumbi huku madongo kuinama ntakuwaje kikwete bana?
Mi nilimsave 'mwendawazimu1' siku alijibip mkataba ukaishia pale!
Watu watatu tofauti au number zote hizo ni za mtu mmoja?
Sina muda wa kuangalia simu yake, hata akinisave Nyau mi fresh tu as long as haninyimi nanihii....
watu tofauti hao....