Phone contacts

Phone contacts

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Hi wana MMU,

Sipendi kuchungulia simu ya mpenzi wangu hasa txt au whatsapp but contact ntajitahidi nione kani save vp... kwa niliowahi wa-date nilibahatika kuona wamenisave hivi.... niliangua kicheko kwa nilioyaona.... kidume nimeandikwa #Toto Mary, #Yudi, #Amazing, #Only1, #Engine, #vibrator huwa najiuliza why hawatumia real names????

Hivi ushajiuliza mpenzi wako ameku save vp katika simu yake?????

Niliwahi kuangalia nilivyoseviwa na mchepuko,nikaona nimeandikwa "miss call".
Kwahiyo means hata nikipiga akiwa na jamaa yake ikiita hata jamaa akishika inaonekana miss inadisplay tu
 
Niliwahi kuangalia nilivyoseviwa na mchepuko,nikaona nimeandikwa "miss call".
Kwahiyo means hata nikipiga akiwa na jamaa yake ikiita hata jamaa akishika inaonekana miss inadisplay tu

Hahahahaaha
 
Hahaha! ni hatari niliwahi kusaviwa my Gemmy loh! baada ya kimkwaruzano nilikuta jina lilibadilishwa na kuwekwa jina la kwanza hadi jina la baba
 
Mi nilimsave 'mwendawazimu1' siku alijibip mkataba ukaishia pale!
 
Hahaha! ni hatari niliwahi kusaviwa my Gemmy loh! baada ya kimkwaruzano nilikuta jina lilibadilishwa na kuwekwa jina la kwanza hadi jina la baba

Haaaa haaaa ni hatariiiiiiiii
 
Back
Top Bottom