Sijui kama watakuelewa. Mkakati unaandaliwa na wizara ya Maji, Maji ya visima hayatatumika na binadamu mpk yapate ithibati ya maabara.
Wakati nchi ina uhaba wa wataalamu wa Maabara za Maji, Maji yanapimwa WIZARA YA MAJI na Chuo Cha Maji tu.
Si muda mrefu sheria itapitishwa na wataalamu hawa wataanza kuhitajika pembe zote za nchi!
Sent using
Jamii Forums mobile app