We unatafuta ushauri au umetoa maelekezo kabisa. Ila all in all MD ni MD kwa nn huwa mnakaa kuilinganisha linganishaHello ,hope wote ni wazima Wa afya, Ningependa Tujuzane mengi kuhusu Hizi Carrier Mbili Kati ya Pharmacy na MD ni kozi Gan Ww unamshauri mwanafunzi Aliyemaliza Kidato cha Sita Na mwenye Ufaulu Mzuri Akasomeee ,Tuassume Amepata Muhimbili ,Je kati ya Daktari na mfamasia ni nani Mwenye Chance kubwa ya Kutusua Kimaisha tukiachana na Suala la Connection[emoji28],
Kwa upande wangu Mimi Nasema Pharmacy Ni bora zaidi Sababu Ina uwanja Mkubwa wa biashara Na pesa Nyingi Japo hata kwa level ya Degree ambapo Mfamasia Atalipwa kwanzia (1.3 mpaka 1.4 M) akifanya kazi serikalini huku akiweka Cheti chake kwenye famasi Tofauti anapata Pesa nyingine ambayo range ni kwanzia 800k mpaka 1M (Double payment) ,wakati daktari atalipwa 1.3M mpaka 1.5M.
Lengo la kuanzisha Thread Ni kutokana Na vijana wengi wa Sasa Hivi Kukimbilia Kozi ya Udaktari kwa Mkumbo mwisho wa siku wanaikatia Tamaa Na Kutafuta pass and proceed (Hii inasababishwa na influence ya Wazazi Nyumbani )wakizania Kuwa Mtoto akisoma Udaktari ndo katusua kumbe Udaktari unahitaji mtu mwenye Passion Nao ambaye atajitoa kwa ajili ya Kusaidia watu zaid ya Pesa .
Tupe Ushauri Kwa nini Udaktari ni bora kuliko Famasi au kwa nini Famasi ni bora kuliko Udaktari?
View attachment 1904114
Pharmacy is the best for a person who wish to be rich because let assume someone got an employment in under government, she/he can use his/her cheti to open big pharm industry for mending medicine, cosmetics and labs chemicals au pharmacy for selling medicine so in general pharm have so many opportunities in different areas for someone wish to success. Lakini shule yake si mchezo [emoji27] ukicheza vibaya tu wameshakukula kichwa
Kwani watu wa MD hua hawafanyi kazi hospital za private ili nao wawe na double payiment?Hello ,hope wote ni wazima Wa afya, Ningependa Tujuzane mengi kuhusu Hizi Carrier Mbili Kati ya Pharmacy na MD ni kozi Gan Ww unamshauri mwanafunzi Aliyemaliza Kidato cha Sita Na mwenye Ufaulu Mzuri Akasomeee ,Tuassume Amepata Muhimbili ,Je kati ya Daktari na mfamasia ni nani Mwenye Chance kubwa ya Kutusua Kimaisha tukiachana na Suala la Connection[emoji28],
Kwa upande wangu Mimi Nasema Pharmacy Ni bora zaidi Sababu Ina uwanja Mkubwa wa biashara Na pesa Nyingi Japo hata kwa level ya Degree ambapo Mfamasia Atalipwa kwanzia (1.3 mpaka 1.4 M) akifanya kazi serikalini huku akiweka Cheti chake kwenye famasi Tofauti anapata Pesa nyingine ambayo range ni kwanzia 800k mpaka 1M (Double payment) ,wakati daktari atalipwa 1.3M mpaka 1.5M.
Lengo la kuanzisha Thread Ni kutokana Na vijana wengi wa Sasa Hivi Kukimbilia Kozi ya Udaktari kwa Mkumbo mwisho wa siku wanaikatia Tamaa Na Kutafuta pass and proceed (Hii inasababishwa na influence ya Wazazi Nyumbani )wakizania Kuwa Mtoto akisoma Udaktari ndo katusua kumbe Udaktari unahitaji mtu mwenye Passion Nao ambaye atajitoa kwa ajili ya Kusaidia watu zaid ya Pesa .
Tupe Ushauri Kwa nini Udaktari ni bora kuliko Famasi au kwa nini Famasi ni bora kuliko Udaktari?
View attachment 1904114
Wanafanya ila wale wenye Masters wanapata hivyo vijiwe kiulaini.Kwani watu wa MD hua hawafanyi kazi hospital za private ili nao wawe na double payiment?
Kama unataka biashara kafanye pharmacy but medicine furaha yetu nikutibia afya za watu ziwe sawa , that's why jamii inaheshim madaktariHello ,hope wote ni wazima Wa afya, Ningependa Tujuzane mengi kuhusu Hizi Carrier Mbili Kati ya Pharmacy na MD ni kozi Gan Ww unamshauri mwanafunzi Aliyemaliza Kidato cha Sita Na mwenye Ufaulu Mzuri Akasomeee ,Tuassume Amepata Muhimbili ,Je kati ya Daktari na mfamasia ni nani Mwenye Chance kubwa ya Kutusua Kimaisha tukiachana na Suala la Connection[emoji28],
Kwa upande wangu Mimi Nasema Pharmacy Ni bora zaidi Sababu Ina uwanja Mkubwa wa biashara Na pesa Nyingi Japo hata kwa level ya Degree ambapo Mfamasia Atalipwa kwanzia (1.3 mpaka 1.4 M) akifanya kazi serikalini huku akiweka Cheti chake kwenye famasi Tofauti anapata Pesa nyingine ambayo range ni kwanzia 800k mpaka 1M (Double payment) ,wakati daktari atalipwa 1.3M mpaka 1.5M.
Lengo la kuanzisha Thread Ni kutokana Na vijana wengi wa Sasa Hivi Kukimbilia Kozi ya Udaktari kwa Mkumbo mwisho wa siku wanaikatia Tamaa Na Kutafuta pass and proceed (Hii inasababishwa na influence ya Wazazi Nyumbani )wakizania Kuwa Mtoto akisoma Udaktari ndo katusua kumbe Udaktari unahitaji mtu mwenye Passion Nao ambaye atajitoa kwa ajili ya Kusaidia watu zaid ya Pesa .
Tupe Ushauri Kwa nini Udaktari ni bora kuliko Famasi au kwa nini Famasi ni bora kuliko Udaktari?
View attachment 1904114
Hakuna ajira Sasa hivi,Hello ,hope wote ni wazima Wa afya, Ningependa Tujuzane mengi kuhusu Hizi Carrier Mbili Kati ya Pharmacy na MD ni kozi Gan Ww unamshauri mwanafunzi Aliyemaliza Kidato cha Sita Na mwenye Ufaulu Mzuri Akasomeee ,Tuassume Amepata Muhimbili ,Je kati ya Daktari na mfamasia ni nani Mwenye Chance kubwa ya Kutusua Kimaisha tukiachana na Suala la Connection😅,
Kwa upande wangu Mimi Nasema Pharmacy Ni bora zaidi Sababu Ina uwanja Mkubwa wa biashara Na pesa Nyingi Japo hata kwa level ya Degree ambapo Mfamasia Atalipwa kwanzia (1.3 mpaka 1.4 M) akifanya kazi serikalini huku akiweka Cheti chake kwenye famasi Tofauti anapata Pesa nyingine ambayo range ni kwanzia 800k mpaka 1M (Double payment) ,wakati daktari atalipwa 1.3M mpaka 1.5M.
Lengo la kuanzisha Thread Ni kutokana Na vijana wengi wa Sasa Hivi Kukimbilia Kozi ya Udaktari kwa Mkumbo mwisho wa siku wanaikatia Tamaa Na Kutafuta pass and proceed (Hii inasababishwa na influence ya Wazazi Nyumbani )wakizania Kuwa Mtoto akisoma Udaktari ndo katusua kumbe Udaktari unahitaji mtu mwenye Passion Nao ambaye atajitoa kwa ajili ya Kusaidia watu zaid ya Pesa .
Tupe Ushauri Kwa nini Udaktari ni bora kuliko Famasi au kwa nini Famasi ni bora kuliko Udaktari?
View attachment 1904114
Clinical officer anaruhusiwa kufungua pharmacy?Vyote vinalipa lakini MD Ni zaidi kwasababu unaweza ukasoma MD then post graduate ukasoma pharmacy so ukawa Dr at the same time Mfamasia lakini Mfamasia hawezi kusoma post graduate ya MD. Vilevile Dr anaruhusiwa kufungua pharmacy lakini Mfamasia haruhusiwi kufungua hospital.
Acha uongo, hivi huu ujasiri wa,kuongea vitu msivyovijua mnatoaga wapi?Vyote vinalipa lakini MD Ni zaidi kwasababu unaweza ukasoma MD then post graduate ukasoma pharmacy so ukawa Dr at the same time Mfamasia lakini Mfamasia hawezi kusoma post graduate ya MD. Vilevile Dr anaruhusiwa kufungua pharmacy lakini Mfamasia haruhusiwi kufungua hospital.
Shule ya pharmacy ni ya kawaida sanaPharmacy is the best for a person who wish to be rich because let assume someone got an employment in under government, she/he can use his/her cheti to open big pharm industry for mending medicine, cosmetics and labs chemicals au pharmacy for selling medicine so in general pharm have so many opportunities in different areas for someone wish to success. Lakini shule yake si mchezo [emoji27] ukicheza vibaya tu wameshakukula kichwa
🤔 Ukiwa una maanisha nini wengine kimombo hatujuiYou are, to the Queen’s language what a poacher is, to a buffalo..
[emoji3516]Hello ,hope wote ni wazima Wa afya, Ningependa Tujuzane mengi kuhusu Hizi Carrier Mbili Kati ya Pharmacy na MD ni kozi Gan Ww unamshauri mwanafunzi Aliyemaliza Kidato cha Sita Na mwenye Ufaulu Mzuri Akasomeee ,Tuassume Amepata Muhimbili ,Je kati ya Daktari na mfamasia ni nani Mwenye Chance kubwa ya Kutusua Kimaisha tukiachana na Suala la Connection[emoji28],