Pharmacy for sale

Pharmacy for sale

Serendipity

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2009
Posts
486
Reaction score
45
The First, Mjimwema Pharmacy is now for sale, the pharmacy is strategically located at a busy junction of kongowe and gezaulole roads at Mjimwema,Kigamboni.
Price is negotiable, for serious inquiry please call 0717696688
Attached please find the attractive photographs of the premise
 
Attachments

  • IMG-20121218-00029.jpg
    IMG-20121218-00029.jpg
    130.7 KB · Views: 107
  • IMG-20121218-00030.jpg
    IMG-20121218-00030.jpg
    295.2 KB · Views: 105
  • IMG-20121218-00032.jpg
    IMG-20121218-00032.jpg
    338.1 KB · Views: 104
  • IMG-20121218-00033.jpg
    IMG-20121218-00033.jpg
    322 KB · Views: 85
  • IMG-20121218-00034.jpg
    IMG-20121218-00034.jpg
    341.7 KB · Views: 97
Weka bei basi mkuu! Je, unavibali vya vizara ya afya pamoja na TFDA? kuna AC humo ndani? Pia naomba kujua yafuatayo:
  1. Ukitaja bei tafadhali sema hiyo hela ina cover vitu gani ( Rent, stocks, shelves, display cases, Pamoja na vibali?)
  2. Kodi yake kwa mwaka, Utatakiwa ku-provide tax clearance certificate kuonesha kwamba hudaiwi chochote
  3. Je. ulikuwa unaiendesha kwa mfumo gani, Sole proprietorship au kampuni?
  4. Sasa hivi kunasheria mpya ya ku-regulate maduka ya madawa, tafadhali tufahamishe duka lako lipo kwenye kundi gani. Duka la dawa muhimu au duka la...........( sikumbuki categories zake kwa usahihi, ila wewe unatakiwa utufahamishe maana uko kwenye hiyo industry tayari)
  5. Unawafanyakazi wangapi, na unawalipa kiasi gani kwa mwezi?
  6. Je una mtaalam yeyote aliyesomea pharmacy hapo dukani, na ningependa kujua kama atakuwa tayari kuendelea na management mpya.
  7. Gharama zinginezo ni zipi na ni kiasi gani kwa mwezi? mfano: ulinzi, usafi, maji, umeme etc

Ukinijibu hayo nitakupigia simu na hivyo kufanya mazungumzo yetu yawe mafupi mno. then tuna conclude deal fasta.

The First, Mjimwema Pharmacy is now for sale, the pharmacy is strategically located at a busy junction of kongowe and gezaulole roads at Mjimwema,Kigamboni.
Price is negotiable, for serious inquiry please call 0717696688
Attached please find the attractive photographs of the premise
 
Investa umesema vyema sana, kaka muuza tafadhali turahisishie kufikia maelezo kwa kutuwekea maelezo muhimu kama alivyosema na kushauri Mwekezaji.tz
 
Weka bei basi mkuu! Je, unavibali vya vizara ya afya pamoja na TFDA? kuna AC humo ndani? Pia naomba kujua yafuatayo:
  1. Ukitaja bei tafadhali sema hiyo hela ina cover vitu gani ( Rent, stocks, shelves, display cases, Pamoja na vibali?)
  2. Kodi yake kwa mwaka, Utatakiwa ku-provide tax clearance certificate kuonesha kwamba hudaiwi chochote
  3. Je. ulikuwa unaiendesha kwa mfumo gani, Sole proprietorship au kampuni?
  4. Sasa hivi kunasheria mpya ya ku-regulate maduka ya madawa, tafadhali tufahamishe duka lako lipo kwenye kundi gani. Duka la dawa muhimu au duka la...........( sikumbuki categories zake kwa usahihi, ila wewe unatakiwa utufahamishe maana uko kwenye hiyo industry tayari)
  5. Unawafanyakazi wangapi, na unawalipa kiasi gani kwa mwezi?
  6. Je una mtaalam yeyote aliyesomea pharmacy hapo dukani, na ningependa kujua kama atakuwa tayari kuendelea na management mpya.
  7. Gharama zinginezo ni zipi na ni kiasi gani kwa mwezi? mfano: ulinzi, usafi, maji, umeme etc

Ukinijibu hayo nitakupigia simu na hivyo kufanya mazungumzo yetu yawe mafupi mno. then tuna conclude deal fasta.

If you are serious just give me a shout and I will clear all your inquiries!
 
Weka biashara yako in good details ili iwavutie wateja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom