Wewe bado inaonekana hujamaliza shule uingie mtaani na cheti chako cha pharmacy !... Hizi sio zama zile za kikwete unaweza ukacheza na cheti kama unavyotaka ! Maliza kwanza !