Mujjih
New Member
- Aug 14, 2018
- 2
- 1
Hivi kuna wadau waliosoma kozi ya PGDE humu, wakafanikiwa kuajiliwa na kuripoti vituo vya kazi wakafundiasha kwa bidii kisha kuondolewa kazini baada ya miezi3, eti kwa madai degree ya kwanza haihusiani na elimu? Kama wapo tujadili hili. Hivi kuwa na degree ya sheria mf au utawala then ukasoma PGDE Tafsri yake si uwe na sifa za ualimu! Serikali inakuajiri unahama mkoa na kusitisha mambo yako yote na kwenda kuishi maisha ya kupanga tena kwa kumuahidi mwenye nyumba mshahara ukitoka utamlipa, unaishia maisha ya mateso miezi3 alafu unafukuzwa Bila sababu ya msingi. So painful