kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,069
- 4,896
Winga mshambuliaji wa kimataifa wa Algeria anayeichezea klabu ya Leicester City ya Uingereza Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA 2015/2016 (Professional Footballers Association).
Na kuwa mchezaji wa toka afrika kwanza kushinda tuzo iyo ya PFA toka ilipoanzishwa.
Riyad Mahrez ametangazwa kushinda tuzo hiyo mbele ya wachezaji kama
Mesut Ozil wa Arsenal , Jamie Vardy na N’golo Kante wa
Leicester City , Harry Kane wa Spurs , Dimitri Payet wa West Ham United.
Katika tuzo izo kinda wa uingereza Delle Alli wa spurs alishinda tuzo ya mchezaji chipukizi.
Mahrez na tuzo yke PFA award 2016
Delle Alli mchezaji chipukizi #pfawards2016
Vardy na tuzo yake ya kufunga mechi 11 mfulizo msimu kwny epl #recordbreaking
Giggs alishinda tuzo ya merit award #pfawards2016
Kikosi bora cha epl msimu huu 2015-16.
Izzy Christiansen (Man City) mchezaji bora wa mwaka upande wa wanawake #pfaawards
Beth Maed (Sunderland) Mchezaji chipukizi upande wa wanawake #pfaawards