Peugeot 504 na Punda!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
jamaa alimwuliza rafiki yake kwanini peugeot yako inakimbia kuliko Punda wangu?jamaa mwenye peugeot akamwambia nikwasababu inawekwa petrol!jamaa mwenye Punda akasema ahaa!basi akachukua punda wake hadi BP!Akawambia niwekee lita 3 kwenye punda akanyanyua mkia wake wakamiminia petorl kwenye tundu la haja!punda kuwekewa petrol ikamuwasha akatoka mkuku mbio kama speed 200!hadi mwenye peugeot akapitwa!mwenye punda kuona hvyo akaona nayeye akawekewe petrol ili amkimbize punda wake!
 
Back
Top Bottom