mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,909
- 13,288
ooh hapo sawa umeeleweka,sasa ilitakiwa kwenye tangazo lako useme sheli na shamba vinauzwa.Eneo la mmiliki wa hiyo sheri ni hekar 8, hvy anauza lote, kama vingekuwa ni sheri yenyewe isingezid 2.5 mpk 3B
Kwenye Details nimefafanua, na sio shamba ni kiwanja. Uliona wapi shamba town jombaa?ooh hapo sawa umeeleweka,sasa ilitakiwa kwenye tangazo lako useme sheli na shamba vinauzwa.
Ila ukisema tu sheli inauzwa kwa bilioni 8 watu hawakuelewi
wewe unajua tofauti kati ya shamba na kiwanja?Kwenye Details nimefafanua, na sio shamba ni kiwanja. Uliona wapi shamba town jombaa?
Mimi naona PUMPS kwenye road reserve; hakuna Petro Station hapoLocation: Kigamboni Mwalimu Nyerere Bridge.
A petrol station has offices which cover 300square meters and one were house with office.
Plot size: 3.5 Hectors
Document: It has title deed
Distance: 8km from Ferry
Ask price Million 3.5 USD
Negotiations is available
All social service are available.
Contact
+255758 676743
DALALI MFALME KIGAMBONI.
View attachment 1627605View attachment 1627606View attachment 1627608
Nipe tofauti kati ya shamba na kiwanja kama kweli unaijua?Yes...
Shamba ni eneo la ardhi ambalo limetengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo kwa lengo la kuzalisha mazao ya chakula na mazao mengineyoNipe tofauti kati ya shamba na kiwanja kama kweli unaijua?
najua mkuu,ila viwanja hupimwa kwa vipande vyenye urefu na upana wa mita za mraba.Kwa hiyo ukisikia hekari...akili yako inakimbilia shambani. Heka ni kipimo kuonesha ukubwa wa eneo, haihalalishi kuwa shamba.
Mpaka tafsiri hiyo bado haujanielewa? IQ yako ni ndogo sana...bora tuishie hapa, hujui hata unachokiongea.najua mkuu,ila viwanja hupimwa kwa vipande vyenye urefu na upana wa mita za mraba.
normally 20x20 square metres.
Shida yako wewe umekariri kwamba shamba ili liwe shamba lazima liwepo morogoro au singida.
Mtu anaweza kumiliki shamba hata Dar es salaam mkuu
Mpaka tafsiri hiyo bado haujanielewa? IQ yako ni ndogo sana...bora tuishie hapa, hujui hata unachokiongea.
Haya mbu wa dengueumekula lakini?
Mtoa mada anapaswa atueleze kinaga ubaga,leo ndio mlikua mnagombana hapo umiliki na marisasi juu na kuuana kwa malori?
Hii sheli niliwahi kuitilia mashaka.Mbona Kama imejengwa kwenye hifadhi ya barabara?
Niniangalia naona kabisa imepitiwa na Barabara ya lami.
Bad enough,
Barabara ya lami inaonyesha imejengwa bila kuwekwa mifereji ya maji.
Na kwa haraka haraka, inaonyesha ujenz wa barabara bado unaendelea.
Kwaiyo inawezekana kabisa,
Mwenye sheli keshaambiwa aondoke Apo kupisha barabara.
Sasa kwa sababu sisi binadamu wa Sasa tumekua wabishi Sana.
Ndo mana
Mwenye Mali, kaamua kuuza fasta fasta ili afidie nusu hasara.
Ni mtizamo lakini
Njoo utueleze icho unachosema Kiko sawa wakati watu wanatwangana risasiUko sahihi...wakati picha inapigwa kulikuwa na matengenezo ya barabara...ila nikufahamishe tu...ujenzi wa sheli sio kama nyumba ya kuishi, sheli zote zipo kando ya barabara na wana kibali maalumu kwa sababu ndio mazingira rafiki ya wao kutoa hudumu, na endapo utachukua eneo hilo kwa uso wa mbele biashara pekee unayoruhusiwa kuweka hapo ni Petrol station. Kwa wakazi wa kigamboni watakuwa wanaifahamu now ujenzi umekwisha kila kitu kipo sawa boss.