Ukiwa much know Jitahidi kufanya reserch...mil 120 ujenge kituo cha mafuta umebanwa na mavi wewe, kwa hela hiyo hata mm ningekuwa nachoHapana wala hayana bei hizo madalali wengi wanaharibu sana biashara hapo mzee ukipiga hesabu kuanzia EIA mpka ujenzi hata mil 120 haifiki hizi pump tuu ni mil 30 .sasa uliza bei wanazotangaza wanauza utachoka
Kwa Hiyo pesa Nakujengea Vituo 10 vizuri kabisa nakurudishia Chenji...
😂 😂 😂 😂 😂 😂Labda vituo vya daladala mkuu
Nahisi kigamboni umefika 10 yrs a go, hakuna mji inakuwa kwa kasi kama kigamboni.Kigambono huko labda ufanye biashara ya kulima nyanya biashara ya petrol station kwa traffic ipi? Ya kwenda Mikadi? Tuliwahi kuja South Beach full uswahili disco vumbi, vibaka wote wa kigamboni wanahamia huko
Hapo chenye thamani ni ardhi na si vinginevyo. Hivyo vingine bei ndogo sana. Angalia hilo eneo lilivyokubwa.8 bilioni.... kumbe haya mavituo ya mafuta yanafaida...mbona pesa ndefu sana.
Hio pesa hata kiwanja sidhani kama inaweza ikakinunuaUkiwa much know Jitahidi kufanya reserch...mil 120 ujenge kituo cha mafuta umebanwa na mavi wewe, kwa hela hiyo hata mm ningekuwa nacho
Hapo unaongelea ekari 8.6 kama hector ni 3.5. Na eneo lenyewe ni kama mtoa mada alivyoeleza. 1.5B nakataa ni zaidi ya 7B.Ardhi thamani yake aizid 1.5B
Mzee 8b ni pesa nyingi sana....bado najiuliza kwa atakae nunua....pesa itarudi baada ya muda gani.Hapo chenye thamani ni ardhi na si vinginevyo. Hivyo vingine bei ndogo sana. Angalia hilo eneo lilivyokubwa.
Kwa 3.5 hectors sio lazima ubaki na petrol station tu. Unaweza kuwekeza mambo mengine kama apartments, shopping malls nk.Mzee 8b ni pesa nyingi sana....bado najiuliza kwa atakae nunua....pesa itarudi baada ya muda gani.
Ahsante sana kwa kumueleweshaHapo unaongelea ekari 8.6 kama hector ni 3.5. Na eneo lenyewe ni kama mtoa mada alivyoeleza. 1.5B nakataa ni zaidi ya 7B.
Ukiachilia mbali ardhi vingine ni bei ndogo sana. Bahati nzuri mie nipo kwenye field ya Engineering mwaka wa 18 huu.
Kuwa muwazi. Hairuhusiwi kujenga biashara au makazi yeyote ndani ya hifadhi ya barabara. Naona kama unataka kuwaingiza watu mkenge hapo.Uko sahihi...wakati picha inapigwa kulikuwa na matengenezo ya barabara...ila nikufahamishe tu...ujenzi wa sheli sio kama nyumba ya kuishi, sheli zote zipo kando ya barabara na wana kibali maalumu kwa sababu ndio mazingira rafiki ya wao kutoa hudumu, na endapo utachukua eneo hilo kwa uso wa mbele biashara pekee unayoruhusiwa kuweka hapo ni Petrol station. Kwa wakazi wa kigamboni watakuwa wanaifahamu now ujenzi umekwisha kila kitu kipo sawa boss.
Ni kweli mkuu huwa inaishia Bilioni 2 tu kwa kipindi hikiBei ghali sana kwa usawa huu bilion 8 so mchezo ujuwe kwa kituo kimoja.
8 bilioni.... kumbe haya mavituo ya mafuta yanafaida...mbona pesa ndefu sana.
Mbona Kama imejengwa kwenye hifadhi ya barabara?
Niniangalia naona kabisa imepitiwa na Barabara ya lami.
Bad enough,
Barabara ya lami inaonyesha imejengwa bila kuwekwa mifereji ya maji.
Na kwa haraka haraka, inaonyesha ujenz wa barabara bado unaendelea.
Kwaiyo inawezekana kabisa,
Mwenye sheli keshaambiwa aondoke Apo kupisha barabara.
Sasa kwa sababu sisi binadamu wa Sasa tumekua wabishi Sana.
Ndo mana
Mwenye Mali, kaamua kuuza fasta fasta ili afidie nusu hasara.
Ni mtizamo lakini
Hata milioni 500 haiwezi kuvuka kwa sehemu za nje ya mji labda iwe kariakoo au magomeni hapo sawa.Ardhi thamani yake aizid 1.5B
Hujui kitu wewe kaa kimya kigambini viwanja vya squter vipo mpk sqm 35000, sasa piga hesabu hekari moja ina sqm 4200, kwa hekari 8 Utanunua kuasi gani?Hata milioni 500 haiwezi kuvuka kwa sehemu za nje ya mji labda iwe kariakoo au magomeni hapo sawa.
Kwa hiyo unataka kusema sheli 1 inakaa kwenye kiwanja cha hekari 8?Hujui kitu wewe kaa kimya kigambini viwanja vya squter vipo mpk sqm 35000, sasa piga hesabu hekari moja ina sqm 4200, kwa hekari 8 Utanunua kuasi gani?
Hebu niambie kama kuna sheli iliyo nje ya mita 60 kutoka barabara kuu?...Tatizo mnaenda chooni mnakuny* akili mnaacha mav* #KumradhiKuwa muwazi. Hairuhusiwi kujenga biashara au makazi yeyote ndani ya hifadhi ya barabara. Naona kama unataka kuwaingiza watu mkenge hapo.