Labda iwe kampuni tena kubwa ila mtu binafsi sio rahisi kumiliki hio mpunga mbele ya huyu bwana8.5 bilioni. Kwa awamu hii .hizi pesa ni ndoto. Utakuwa umeziweka bank ipi jamaa asizichukue hapo kabla hujanunua hiyo petrol station?
Umeweka ndani au unasubiria uokote Jiwe kama Laizer8.5 bilioni. Kwa awamu hii .hizi pesa ni ndoto. Utakuwa umeziweka bank ipi jamaa asizichukue hapo kabla hujanunua hiyo petrol station?
huwa zinauzwa mkuusikuwahi kuona petrol station inauzwa toka nianze kutumia mitandao