ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
wao ni main sponsor,it's high time waombe libya iondolewe,kwa nini waji associate na watu kama hao? si wawaite hata zambia au malawi?Mkuu huoni kuwa unaharibu biashara za watu? Kwanini usideal na CECAFA tu?
nimekusamehe bureKususa susa ni tabia za kike..hao uko Libya walitumwa na nani? Kupenda penda kitonga... Waelimishe ndugu zako wasipende mtelemko...
Kwani sisi ni waisrael?Mods: tafadhali hii habari sio ya michezo
Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,nawaomba ndugu zangu tupaze sauti hao libya waondolewe kama haiwezekani tususie bidhaa za azam na cecafa yao kabisa
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?nasema hivi maana najua kuna watakaosema wachezaji hayawahusu,juzi tu mcheza judo wa Iran kaachia apigwe kwa maelekezo ya kocha baada ya kugundua next opponent ni mu israel
Imagine hayo majaamaa ya kiarabu yanatia team nairobi halafu yanafunga goal huku yakishangaliwa,yatatushangaa yenyewe
LETS BOYCOT AZAM TV AND CECAFA
Lol unadhani wale wa Comoro. Peleka ndugu yako uone.kama vipi jeshi letu liivamie libya iwe koloni letu, tutatumia ile "trick" ya muungano, haijawahi kufeli
NenoKususa susa ni tabia za kike..hao uko Libya walitumwa na nani? Kupenda penda kitonga... Waelimishe ndugu zako wasipende mtelemko...
Hivi umesoma mada na kuielewa au unaharisha tu hapa?Kwani sisi ni waisrael?
Watu wamevalia mambo utasema wa uchungu wa kweli. Nchi zetu zinatushinda wanapigwa watu maiti zinaokotwa hovyo watu vyatuuu utasema hawasikii au kuona. Wale wanataka kwenda europe kinachotokea sio kitu kizuri. Swali kwanini wanakimbia nchi zao njia ya panya? Huko ndio tatizo tu andamane kuboresha serikali zetu mbovu umaskini wa kutupwa. Tusijafanye machampion leo wa haki za binadamu wakati sisi wenyewe hatuheshimiani.Kususa susa ni tabia za kike..hao uko Libya walitumwa na nani? Kupenda penda kitonga... Waelimishe ndugu zako wasipende mtelemko...