mkuu
Matola ngoja nikuambie kitu,huyu spika ni sukuma gang,na hao covid 19 wameingia kwa mgongo wa sukuma gang,mama anazingua sana ila pia kama sukuma gang wamejishtukia kwahiyo wanafanya juu chini mama aonekane mbaya ingawa pia mama anakopa sana. Najiuliza mama alikuwa makamu wa sukuma gang sasa hivi amewakataa,je 2025 itakwaje