Peter Msigwa: Niliwahi kusema bungeni kuwa tumezalisha taifa la watu wanafiki waoga na kujipendekeza

Mbona yeye kama hajipendekezi kwa Mbowe, angekula matapishi yake kwa Lowasa.... Mbona huu ni unafiki wa hali ya juu..wateule wote wa Chadema wanajipendekeza kwa Mbowe.. Wanasubiri ngoma ipigwe na Mbowe ili wao waicheze... Unafiki unafiki unafiki unafiki... Unafiki kuanzia Mbowe mwenyewe anajiependekeza kwa Lowasa na Vifaranga wake wote.. Wameufyata na kuufyatua..

Kama Chadema Kuna Mwanaume wa kweli asimame aseme Katiba ya Chadema.. Inawanyima wanachama wa Chadema Haki yao kutafuta Haki mahakamani.. Ni kinyume cha Katiba ya nchi ya Tanzania
Meshamju alichowauliza
 
TCRA chombo ambacho kimepewa mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari kuhakikisha havirushi tusi lolote hewani liwe la kumtukama mtu anayeonekana au shetani asiyeonekana au mtu asiyejulikana.Ukirusha tusi hewani kwenye TV ni kinyume cha sheria ya utangazaji hata kama hilo tusi halimtaji mtu unayemtukana TCRA watakomaa na wewe.
Inaona vya wapinzani tu ndio maana mnakatakata na matangazo wapinzani wakiwa wanazungumza live lakini kwa wazee wa mipasho ni burudani
 
ITV haina kosa,kipindi kikiwa live kosa huwa ni yule aliyesema.Kama kipindi siyo live kosa ni la tv,huwa wanatakiwa kuediti.je,ITV walikuwa live?
 
Dah! Huu si mfanano wa kawaida. Yaani alichoandika Mwanahabari Huru ndicho hicho hicho lukindo kakiandika ambapo ndani ya dakika moja baada ya Mwanahabari huru kupost lukindo akaingia fasta kwenye akaunti ya mchungaji Msigwa, akascreenshot kilichoandikwa na Mwanahabari Huru then akaja kuchangia ndani ya dakika moja. Amazing
Hoja yako ya msingi ni ipi sasa hapo?!?!
 
Dah! Huu si mfanano wa kawaida. Yaani alichoandika Mwanahabari Huru ndicho hicho hicho lukindo kakiandika ambapo ndani ya dakika moja baada ya Mwanahabari huru kupost lukindo akaingia fasta kwenye akaunti ya mchungaji Msigwa, akascreenshot kilichoandikwa na Mwanahabari Huru then akaja kuchangia ndani ya dakika moja. Amazing
sasa kitu gani kigumu hapo wakati vitu vyote vipo mikononi mwako
 
Yeye mbona alijipendekeza kwa Lowasa akiamini kwamba bila Lowasa basi Chadema haiwezi kushika dola.
 
ITV haina kosa,kipindi kikiwa live kosa huwa ni yule aliyesema.Kama kipindi siyo live kosa ni la tv,huwa wanatakiwa kuediti.je,ITV walikuwa live?
Na wewe uwe unasoma walau kasheria ka utangazaji! Vyombo vya habari Hawaruhusiwi kurusha tusi lolote hewani liwe Live AU LILILOREKODIWA la mtu anayeonekana au asiyeonekana.Liko kwenye sheria.
 
Dah! Huu si mfanano wa kawaida. Yaani alichoandika Mwanahabari Huru ndicho hicho hicho lukindo kakiandika ambapo ndani ya dakika moja baada ya Mwanahabari huru kupost lukindo akaingia fasta kwenye akaunti ya mchungaji Msigwa, akascreenshot kilichoandikwa na Mwanahabari Huru then akaja kuchangia ndani ya dakika moja. Amazing
These guys are very sharp,
 
Akasome sheria ya vyombo vya habari na utangazaji inasemaje.Angeporomosha hayo matusi akiwa barabarani hicho anachoongea ndio kingekuwa hivyo.Ukiporomosha MATUSI kwenye chombo cha habari chombo cha habari ndio kinawajibika.
Wapi ambako ukiporomosha matusi barabarani sio kosa? Tanzania?
 
Ukiporomosha matusi barabarani TCRA haiingilii kati.Watakaokushughulikia ni jamhuri inaweza kuchukulia hatua kupitia polisi au yule aliyetukanwa aweza kukuchukulia hatua au watu wenye hasira kali wasiopenda matusi waweza kukuchukulia hatua.

Tofauti ya kuvurumisha matusi kwenye chombo cha habari na mitaani ni kuwa ukivurumisha matusi kwenye chombo cha habari TCRA na MSAJILI WA vyombo vya habari huhusika zaidi kushughulikia vyombo vya habari vilivyorusha au kuandika magazetini.

Hakuna mahali kutukana matusi huhesabika kuwa sio kosa
 
Cku nyingine ukiitwa utaacha kutukana tuu....mtu mzima kutoa maneno ya chooni sijui ndo ukillaza
 
Uwoga umekuwa systematically created for yrs.... kutoka hapa ni kazi kubwa..... wapi vijana wa UDSM walio kuwa wakiandamana kudai haki zao mpaka wizarani? Baada ya polisi kuwapa kichapo siku hizi wanagoma kuingia madarasani tu wakikusanyika RV square , wapi jumuiya za wafanyakazi na waalimu kusukuma mambo yao yaende? Kwa sasa ndo watz tulivo..... tatizo kubwa la kuishi hivi ni kuto weza paza sauti mbadala ambazo mara nyingi ni catalyst ya maendeleo na mageuzi.....
 
Mbona yeye kama hajipendekezi kwa Mbowe, angekula matapishi yake kwa Lowasa.... Mbona huu ni unafiki wa hali ya juu..wateule wote wa Chadema wanajipendekeza kwa Mbowe.. Wanasubiri ngoma ipigwe na Mbowe ili wao waicheze... Unafiki unafiki unafiki unafiki... Unafiki kuanzia Mbowe mwenyewe anajiependekeza kwa Lowasa na Vifaranga wake wote.. Wameufyata na kuufyatua..

Kama Chadema Kuna Mwanaume wa kweli asimame aseme Katiba ya Chadema.. Inawanyima wanachama wa Chadema Haki yao kutafuta Haki mahakamani.. Ni kinyume cha Katiba ya nchi ya Tanzania
Kama ni mwanaume kweli kasimame uombe kugombea uenyekiti Lumumba
 
Dah! Huu si mfanano wa kawaida. Yaani alichoandika Mwanahabari Huru ndicho hicho hicho lukindo kakiandika ambapo ndani ya dakika moja baada ya Mwanahabari huru kupost lukindo akaingia fasta kwenye akaunti ya mchungaji Msigwa, akascreenshot kilichoandikwa na Mwanahabari Huru then akaja kuchangia ndani ya dakika moja. Amazing
Kwani ni dhambi?
 
Back
Top Bottom