A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,216 Jun 11, 2024 #1 Zipo tetesi Msanii Nguli nchini Peter Msechu amealikwa katika tamasha nchini Malawi. Kila la kheri P
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,106 Reaction score 110,841 Jun 11, 2024 #2 R.i.PClassmates....😥 Kweli kufa kufaana...🤣
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,763 Reaction score 11,790 Jun 11, 2024 #3 Kuna watu hufurahia misiba ya wenzao... Nafikiri hamko sawa vichwani.
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,216 Jun 11, 2024 Thread starter #4 nyakubonga said: Kuna watu hufurahia misiba ya wenzao... Nafikiri hamko sawa vichwani. Click to expand... Umetajwa msiba wapi kwenye thread? Inaonekana wewe ndo haupo sawa
nyakubonga said: Kuna watu hufurahia misiba ya wenzao... Nafikiri hamko sawa vichwani. Click to expand... Umetajwa msiba wapi kwenye thread? Inaonekana wewe ndo haupo sawa
M mihambope JF-Expert Member Joined Jul 3, 2023 Posts 655 Reaction score 882 Jun 11, 2024 #5 kasikia ndege imepotea anawahi??? sio poa hiyo
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 2,036 Reaction score 4,281 Jun 11, 2024 #6 Ushimen said: R.i.PClassmates....😥 Kweli kufa kufaana...🤣 Click to expand... Jinga sana lizee limoja hivi la hovyo🤣🤣🤣🤣
Ushimen said: R.i.PClassmates....😥 Kweli kufa kufaana...🤣 Click to expand... Jinga sana lizee limoja hivi la hovyo🤣🤣🤣🤣
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,977 Reaction score 54,104 Jun 11, 2024 #7 Afike salama
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,218 Reaction score 24,550 Jun 11, 2024 #8 Khaaaa RiP VP
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,763 Reaction score 11,790 Jun 11, 2024 #9 Andrew123 said: Umetajwa msiba wapi kwenye thread? Inaonekana wewe ndo haupo sawa Click to expand... Si kila mtu ni mjinga mwenzako...
Andrew123 said: Umetajwa msiba wapi kwenye thread? Inaonekana wewe ndo haupo sawa Click to expand... Si kila mtu ni mjinga mwenzako...
Nsennah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2021 Posts 2,406 Reaction score 2,148 Jun 11, 2024 #10 Daaah!!
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,965 Reaction score 9,463 Jun 11, 2024 #11 Andrew123 said: Umetajwa msiba wapi kwenye thread? Inaonekana wewe ndo haupo sawa Click to expand... Fumbo anafumbiwa mjinga wewe. Humu JF kama wapo ni wachache kama wewe.
Andrew123 said: Umetajwa msiba wapi kwenye thread? Inaonekana wewe ndo haupo sawa Click to expand... Fumbo anafumbiwa mjinga wewe. Humu JF kama wapo ni wachache kama wewe.
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,216 Jun 12, 2024 Thread starter #12 JAYJAY said: Fumbo anafumbiwa mjinga wewe. Humu JF kama wapo ni wachache kama wewe. Click to expand... Punguza povu Dada
JAYJAY said: Fumbo anafumbiwa mjinga wewe. Humu JF kama wapo ni wachache kama wewe. Click to expand... Punguza povu Dada