Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,846 Reaction score 28,987 Thursday at 9:35 AM #21 King Kong III said: Chivayo ameenda na mabilioni ya wakuu wa nchi kadhaa ,wengine wameenda kimya kimya kuulizia kwa ndugu zake. Click to expand... Aliyeenda kimyakimya anajulika usiseme "wengine "!
King Kong III said: Chivayo ameenda na mabilioni ya wakuu wa nchi kadhaa ,wengine wameenda kimya kimya kuulizia kwa ndugu zake. Click to expand... Aliyeenda kimyakimya anajulika usiseme "wengine "!
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,716 Reaction score 16,418 Thursday at 9:36 AM #22 misiba ndiyo imemtoa kimziki msechu
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,434 Reaction score 1,341 Thursday at 11:36 AM #23 Malaika Gabrieli said: Wow! Appearance ya Msechu inafanana na Chivayo. Click to expand... Kwa hiyo anaenda kuwaliza mara ya pili??
Malaika Gabrieli said: Wow! Appearance ya Msechu inafanana na Chivayo. Click to expand... Kwa hiyo anaenda kuwaliza mara ya pili??
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,434 Reaction score 1,341 Thursday at 11:42 AM #24 Mshana Jr said: Akirudi ni direct kule majini Click to expand... Na iwe kweli.
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 1,970 Reaction score 5,051 Thursday at 11:43 AM #25 Utofauti wa msechu na chivayo ni kimo tu
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 1,970 Reaction score 5,051 Thursday at 11:45 AM #26 Msechu anafaa sana kwenye ngoma za ndani ya mipaka yetu na sio uko kimataifa huyu afanye ngoma zake hapa ndani tena hua zinabamba sana nivile hatujamsikia kitambo ila hawamu hii atatoa IP ya nyimbo hata5 kwa tukio la ndan
Msechu anafaa sana kwenye ngoma za ndani ya mipaka yetu na sio uko kimataifa huyu afanye ngoma zake hapa ndani tena hua zinabamba sana nivile hatujamsikia kitambo ila hawamu hii atatoa IP ya nyimbo hata5 kwa tukio la ndan