Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe

litakua moja wapo la janga, ambao wamekuta "barWadau msaada wenu tafadhari,eti huyu aliye andika hapa ni mwanasheria
Duuh!! Wakili msomi, kwa haraka na kwa namna ulivyoandika ujumbe huu, basi hitimisho litakuwa ni kati ya haya yafuatayo;-
(1) Mwanasiasa, likely CCM member, mwenye chuki zisizokuwa na tija;
(2) Unayo chuki binafsi dhidi ya Kibatala, Advocate, see the way ulivyom-address....very unproffessional and unwise....by ridiculing his name na tendo lililofanyika, very unfair for your fellow lawyer;
(3) Umekosa staha, busara, n.k, dhidi ya Wakili mwenzako;
(4) Hujui maana ya demokrasia, kwani wapiga kura ndio hufanya uchaguzi wa mtu/watu ambao wanaotaka wawe wawakilishi wao.
USHAURI: Kabla ya kuandika jambo, basi tafakari kwanza mapokea ya umma....and remember always kuwa learned brothers & sisters are expected to respect and treat each other with honest, candour and courtesy.
for sure!! ameitia aibu taaluma.Duuh!! Wakili msomi, kwa haraka na kwa namna ulivyoandika ujumbe huu, basi hitimisho litakuwa ni kati ya haya yafuatayo;-
(1) Mwanasiasa, likely CCM member, mwenye chuki zisizokuwa na tija;
(2) Unayo chuki binafsi dhidi ya Kibatala, Advocate, see the way ulivyom-address....very unproffessional and unwise....by ridiculing his name na tendo lililofanyika, very unfair for your fellow lawyer;
(3) Umekosa staha, busara, n.k, dhidi ya Wakili mwenzako;
(4) Hujui maana ya demokrasia, kwani wapiga kura ndio hufanya uchaguzi wa mtu/watu ambao wanaotaka wawe wawakilishi wao.
USHAURI: Kabla ya kuandika jambo, basi tafakari kwanza mapokea ya umma....and remember always kuwa learned brothers & sisters are expected to respect and treat each other with honest, candour and courtesy.
Wewe nawe! Unataka kufananisha majina na lugha tunazotumia mahakamani na JF. Halafu unaongelea demokrasia, hujui kuwa nami nimetumia demokrasia kuwasilisha thread yangu hivi.Duuh!! Wakili msomi, kwa haraka na kwa namna ulivyoandika ujumbe huu, basi hitimisho litakuwa ni kati ya haya yafuatayo;-
(1) Mwanasiasa, likely CCM member, mwenye chuki zisizokuwa na tija;
(2) Unayo chuki binafsi dhidi ya Kibatala, Advocate, see the way ulivyom-address....very unproffessional and unwise....by ridiculing his name na tendo lililofanyika, very unfair for your fellow lawyer;
(3) Umekosa staha, busara, n.k, dhidi ya Wakili mwenzako;
(4) Hujui maana ya demokrasia, kwani wapiga kura ndio hufanya uchaguzi wa mtu/watu ambao wanaotaka wawe wawakilishi wao.
USHAURI: Kabla ya kuandika jambo, basi tafakari kwanza mapokea ya umma....and remember always kuwa learned brothers & sisters are expected to respect and treat each other with honest, candour and courtesy.
Wewe nawe! Unataka kufananisha majina na lugha tunazotumia mahakamani na JF. Halafu unaongelea demokrasia, hujui kuwa nami nimetumia demokrasia kuwasilisha thread yangu hivi.
Kumbe kubataliwa ndiyo imekuwa issue. Basi sorry counselKhaaa!! Hapana, hutakiwi kumheshimu wakili/mwanasheria mwenzio ukiwa mahakama
Muda wowote na mahali popote ni wajibu wako kuheshimi
Msomi, soma Jina la Kibatala, lkn kwanini wewe uandike "kubataliwa"?
Anyways, do what you like....and...suits you as well.
Kumbe kubataliwa ndiyo imekuwa issue. Basi sorry counsel
Wewe nawe! Unataka kufananisha majina na lugha tunazotumia mahakamani na JF. Halafu unaongelea demokrasia, hujui kuwa nami nimetumia demokrasia kuwasilisha thread yangu hivi.
Ni mwanasheria,ndio maana kashiriki kupiga kura.
Wadau msaada wenu tafadhari,eti huyu aliye andika hapa ni mwanasheria