Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,513
- 167,166
Peter Kibatala kiboko ya CCMWakili anayeongoza kula hela za Chadema bila kushinda kesi yoyote bwana Peter Kibatala safari hii amesababisha kesi ya wabunge 19 wa Chadema kuahirishwa hadi mwezi wa 3 mwaka 2023, baada ya kushindwa kutokea mahamakani bila sababu zozote za msingi, huku akiendelea kulipwa mshahara na marupurupu mengi kutoka kwenye ruzuku ya chama.
Ikumbukwe ni Peter Kibatala aliyesimamia kesi ya Mbowe ambayo mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi wake.
.View attachment 2437457
Kiboko kwa lipi?Peter Kibatala kiboko ya CCM
Ipi kapoteza?Kiboko kwa lipi?
Mbona hamna kesi hata moja aliyoshinda
Mbowe alikutwa na ugaidiIpi kapoteza?
Nchii hii ngumu sana na imejaa vijana wa hovyo tu. Hukusoma kuwa Kibatala anasikiliza kesi nyingine Mwanza?? Katika hali ya kawaida tu, mtu mmoja anawezaje kuwa sehemu mbili tofauti katika wakati mmoja?? Hata hili nalo ni gumu kutambua??Kwa nini Kibatala hakwenda?
Hakujua tarehe ya kesi zake?Nchii hii ngumu sana na imejaa vijana wa hovyo tu. Hukusoma kuwa Kibatala anasikiliza kesi nyingine Mwanza?? Katika hali ya kawaida tu, mtu mmoja anawezaje kuwa sehemu mbili tofauti katika wakati mmoja?? Hata hili nalo ni gumu kutambua??
Nitarudia kusema, nchi hii ina rundo wa vijana wa hovyo!!! Alijua tarehe na ndio maana aliitaarifu Mahakama kutokuwepo kwake. Alichofanya ni kuchagua aende kwenye kesi ipi katika hizo mbili. Mwenye akili atakwenda kwenye kesi inayoelekea kufika mwisho kuliko inayoanza!! Ungeenda mbali zaidi ungejiuliza "nani anapanga tarehe za kesi?" - Jibu ni "mahakama" na asiyeweza kuhudhuria ana wajibu wa kusema hatofika. Kwa uhovyo wako, unadhani ni Kibatala alipanga kuwa na kesi mbili tofauti katika tarehe moja!!Hakujua tarehe ya kesi zake?
ThibitishaMbowe alikutwa na ugaidi
Wewe mtu akikuita fala hajakosea!Mbowe alikutwa na ugaidi
Huyu mpuuzi anaamini Kibatala ndiye kailazimisha mahakama iende likizo. Bongo tunaishi ndani ya Bongo muvi.Vyovyote vile ukipata kesi mwezi huu lazima kesi itasimama kwa miezi kadhaa maana mahakama yaenda likizo
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga, Kibatala hakutakiwa kukosa kesi ya kina MdeeNitarudia kusema, nchi hii ina rundo wa vijana wa hovyo!!! Alijua tarehe na ndio maana aliitaarifu Mahakama kutokuwepo kwake. Alichofanya ni kuchagua aende kwenye kesi ipi katika hizo mbili. Mwenye akili atakwenda kwenye kesi inayoelekea kufika mwisho kuliko inayoanza!! Ungeenda mbali zaidi ungejiuliza "nani anapanga tarehe za kesi?" - Jibu ni "mahakama" na asiyeweza kuhudhuria ana wajibu wa kusema hatofika. Kwa uhovyo wako, unadhani ni Kibatala alipanga kuwa na kesi mbili tofauti katika tarehe moja!!
Ninasema tena - kundi ulilopo likipungua, nchi itasonga mbele!!
Wewe ndiyo kilaza mkubwa fala wewe .Wewe mtu akikuita fala hajakosea!
Hivi una kiwango gani cha elimu? Ni muhimu ili watu wasipoteze muda wao na ngumbaru aliye nunuliwa simu na shemeji
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nikutaarifu tu kuwa Kibatala ni kati ya mawakili ambao hata ccm inawaogopa sana!Wakili anayeongoza kula hela za Chadema bila kushinda kesi yoyote bwana Peter Kibatala safari hii amesababisha kesi ya wabunge 19 wa Chadema kuahirishwa hadi mwezi wa 3 mwaka 2023, baada ya kushindwa kutokea mahamakani bila sababu zozote za msingi, huku akiendelea kulipwa mshahara na marupurupu mengi kutoka kwenye ruzuku ya chama.
Ikumbukwe ni Peter Kibatala aliyesimamia kesi ya Mbowe ambayo mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi wake.
Mbowe hakushinda kesi mahakama ilimkuta na kesi ya kujibuNikutaarifu tu kuwa Kibatala ni kati ya mawakili ambao hata ccm inawaogopa sana!
hata kesi ya Mbowe ilifutwa kutokana na aibu ambayo ilikuwa ikaipate serikali ya ccm!
Ungekuwa na akili ungeelewa hilo
Do you know difference between someone quilty and someone who has case to answer?Wewe ndiyo kilaza mkubwa fala wewe .
Ina maana unapinga kwamba Mbowe alikutwa na mahakama ana kesi ya kujibu kuhusu ugaidi wake akiwa anatetewa na kibatala?
Na wewe endelea kutumika na amsterdamHujui tofauti kwa hiyo kwenda huko! Katumike Dodoma huko kupigia watu debe
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hujielewi wewe, sasa sijui shida ni nini! Kuzaliwa, kukulia na kuishi katika dimbwi la umasikini au elimu duni ambayo unafikia hitimisho kuwa kumiliki smartphone na kuitumia ni kuelimika hadi hutaki kujiuliza kwa nini wenye elimu kubwa wanafikiri tofauti nawe.Na wewe endelea kutumika na amsterdam