A Addes_Tech_School Member Joined May 5, 2024 Posts 20 Reaction score 11 May 24, 2024 #1 Kwa nini watu fulani wanaamini kwamba kuvaa pete kwenye kidole cha pete itawafanya wapenzi wao wasiwe waaminifu?
Kwa nini watu fulani wanaamini kwamba kuvaa pete kwenye kidole cha pete itawafanya wapenzi wao wasiwe waaminifu?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,139 Reaction score 88,808 May 24, 2024 #2 Sio kweli
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,117 May 24, 2024 #3 Nipo na pete na nipo na nyau pembeni right now
A Addes_Tech_School Member Joined May 5, 2024 Posts 20 Reaction score 11 May 25, 2024 Thread starter #4 Usisahau kumfunga kengele๐๐๐
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,773 May 25, 2024 #5 Addes_Tech_School said: Kwa nini watu fulani wanaamini kwamba kuvaa pete kwenye kidole cha pete itawafanya wapenzi wao wasiwe waaminifu? Click to expand... Hiyo elimu ni maagano kati yenu. Sema imeboreshwa ndio unaona pete.kwa waislamu kwenye ndoa kwa nini unashikishwa mkono .Na kupigiwa dua
Addes_Tech_School said: Kwa nini watu fulani wanaamini kwamba kuvaa pete kwenye kidole cha pete itawafanya wapenzi wao wasiwe waaminifu? Click to expand... Hiyo elimu ni maagano kati yenu. Sema imeboreshwa ndio unaona pete.kwa waislamu kwenye ndoa kwa nini unashikishwa mkono .Na kupigiwa dua
A Addes_Tech_School Member Joined May 5, 2024 Posts 20 Reaction score 11 May 25, 2024 Thread starter #6 Aaaaaa huko mie sijui sijawhi shuhudia ndoa ya kiislam labda nipe Moja mbili๐๐