frontline7
Member
- Sep 26, 2013
- 31
- 25
Sakasaka Mao usinihukumu. Elimu ninayo yakutosha. Mimi ninahoji tu, pia nataka kila mtu kwa nafasi yake alitafsiri hili neno "pesa za dili" kama kweli nchi ilikua ikiendeshwa na pesa hizi, vipi sasa hadi bibi kizee kule kijijini analalamika hali imekua ngumu? Au nae alikua yupo kwenye dili? Huoni kama serikalI inatumia neno "pesa za dilI" kama kiini macho dhidi ya hali ngumu ya maisha kwa sasa?Vitu vyote vilivyopo duniani, kuna vizuri na vibaya.
Binadamu umepewa utashi wa kuweza kuchagua jema na baya. Kama utachagua baya ndiyo liwe msingi wako wa maisha, inawezekana. Lakini wema daima hauchanganyiki na ubaya. Na ubaya daima haujengi bali huishia kukwama ama kubomoa kabisa.
Kwa hiyo ushauri wako wewe ni wa kufuata njia mbaya ambayo huko nyuma ililalamikiwa sana na wengi kuwa inakandamiza mfumo uliohaki wa kuendesha maisha yao. Leo wewe unaamua unaturudisha nyuma, kuona hata ile hatua inayoonesha mwanga wa mabadiliko ya haki, kwako haifai! Ubinafsi na umimi umekutawala.
Unatakiwa upate elimu ya uchumi, pia mifano hai kwa mataifa yaliyokuwa yanaendeshwa kwa pesa za dili yalivyofeli kabisa na mengine kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe hadi yalipojiangalia upya.
Sasa na sisi unataka tufike huko?
Pesa za dili huharibu mfumo wa nchi. Yaani mahakama, polisi, mifumo ya uchaguzi,taasisi zote za umma na kila mahali itolewapo haki ama huduma za kijamii.
Mrorongo ni mrefu.
Nionavyo mimi ni mwiko na ni haramu kutengeneza mawazo kuturejesha tulikotoka, ingawaje wewe ulukuwa mnufaika.
Kujenga hoja ya kubwetekea udhaifu uliokwisha mulikwa na serikali kutaka uerekebishwe, ili mwisho wa siku raia wote kama taifa tuweze kuishi maisha ya haki pia tuwe taifa la watu waliostaarabika.
Tunaomba Mungu sana atusaidie ili mioyo yetu igeuzwe nyuma ili igundue na kuona jinsi tulivyokuwa tumefuata njia potofu na kupotea, ili sasa tuirejelee njia iliyosahihi kwetu sisi na kwa vizazi vyetu.
Huyo bibi kizee alikuwa anatumia na kuzoea pesa za dili zilizotoka kwa mpiga dili, kama alikuwa anajishughulisha kihalali asingelaumu hali ni ngumu. Any way, kupanga ni kuchagua(maghufuli voice)Sakasaka Mao usinihukumu. Elimu ninayo yakutosha. Mimi ninahoji tu, pia nataka kila mtu kwa nafasi yake alitafsiri hili neno "pesa za dili" kama kweli nchi ilikua ikiendeshwa na pesa hizi, vipi sasa hadi bibi kizee kule kijijini analalamika hali imekua ngumu? Au nae alikua yupo kwenye dili? Huoni kama serikalI inatumia neno "pesa za dilI" kama kiini macho dhidi ya hali ngumu ya maisha kwa sasa?
Kwa mantiki hii na namna kila mtu anavyolia basi itakua kila pahala hela ya dili ilitawala. Nyumba za ibada, ikulu, bungeni, hospitalini, shuleni, kazini na hata mitaani.Huyo bibi kizee alikuwa anatumia na kuzoea pesa za dili zilizotoka kwa mpiga dili, kama alikuwa anajishughulisha kihalali asingelaumu hali ni ngumu. Any way, kupanga ni kuchagua(maghufuli voice)
PESA za DILI. Debate yetu nadhani imeingia dosari tu pale mwanzo wewe mleta uzi kutofasiri kiusahihi msamiati huu.Sakasaka Mao usinihukumu. Elimu ninayo yakutosha. Mimi ninahoji tu, pia nataka kila mtu kwa nafasi yake alitafsiri hili neno "pesa za dili" kama kweli nchi ilikua ikiendeshwa na pesa hizi, vipi sasa hadi bibi kizee kule kijijini analalamika hali imekua ngumu? Au nae alikua yupo kwenye dili? Huoni kama serikalI inatumia neno "pesa za dilI" kama kiini macho dhidi ya hali ngumu ya maisha kwa sasa?
Juzi waziri mkuu aliamrisha wakamatwe viongozi chama cha ushirika kwa ajili ya kutka kudhulumu wakulima korosho zenye thamani ya zaidi ya shs 20 billion, sasa huu ni mfano wa pesa za dili na hao waliozichukua hawana uchungu nazo wangetumia kwa anasa za hali ya juu na wanaowazunguka wangeona neema isiyokuwa na mifano, wakulima wanateseka na familia zao na kubaki kuwa masikini huku wwngine wakifaidi jasho lao. Sasa ndio unachotaka kutuaminisha ni njia sahihi ya uchumi kweli????? Na je hawa wakulima wakilipwa hizo 20 billion sijui kama kuna atakayelalamika hakuna pesaSakasaka Mao usinihukumu. Elimu ninayo yakutosha. Mimi ninahoji tu, pia nataka kila mtu kwa nafasi yake alitafsiri hili neno "pesa za dili" kama kweli nchi ilikua ikiendeshwa na pesa hizi, vipi sasa hadi bibi kizee kule kijijini analalamika hali imekua ngumu? Au nae alikua yupo kwenye dili? Huoni kama serikalI inatumia neno "pesa za dilI" kama kiini macho dhidi ya hali ngumu ya maisha kwa sasa?
Umeeleza vizuri mno.Juzi waziri mkuu aliamrisha wakamatwe viongozi chama cha ushirika kwa ajili ya kutka kudhulumu wakulima korosho zenye thamani ya zaidi ya shs 20 billion, sasa huu ni mfano wa pesa za dili na hao waliozichukua hawana uchungu nazo wangetumia kwa anasa za hali ya juu na wanaowazunguka wangeona neema isiyokuwa na mifano, wakulima wanateseka na familia zao na kubaki kuwa masikini huku wwngine wakifaidi jasho lao. Sasa ndio unachotaka kutuaminisha ni njia sahihi ya uchumi kweli????? Na je hawa wakulima wakilipwa hizo 20 billion sijui kama kuna atakayelalamika hakuna pesa