Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
- Thread starter
-
- #21
Ahhahhhha nalo neno
Nipo dada yangu wa ukweli, niende wapi zaidi ya hapa....Upooo??!!
Nipo dada yangu wa ukweli, niende wapi zaidi ya hapa....
Hata hivyo nipo safarini Mtwara
Nakula korosho tu huku, niko hapa Chuo cha Utumishi wa Umma nafaidi matunda ya Uhuru tu....Kwemaa???
Nakula korosho tu huku, niko hapa Chuo cha Utumishi wa Umma nafaidi matunda ya Uhuru tu....
Ni kweli dada yangu, kwa kipindi hiki cha kama mwezi mmoja nitakuwa nachungulia kusoma nyuzi na kujibu QUOTE tu...Owh ndo mana mahudhurio humu hayafurahishi
Ni kweli dada yangu, kwa kipindi hiki cha kama mwezi mmoja nitakuwa nachungulia kusoma nyuzi na kujibu QUOTE tu...
nipo bi mkubwa, habari ya wewe?