mangi mandara
Member
- Aug 24, 2013
- 64
- 2
Heri ya mwaka mpya uliebahatika kusoma hapa,wanajamvi mimi ni mwanaume kila mwanamke nnaejaribu kumtongoza hua nampata kweli haruki kamba si kama najisifu ndo maisha nnayoyaona kwangu nikijaribu kufanya ivyo,mi bado sjajua nikwamba nawanyookea wale wakwangu ama the way i'm,i dont know,though napenda kujua jambo hili wanaposema pesa,pesa,pesa,pesa eti ndo umpate mwanamke badosjajua iyo pesa ina aplaiwa wapi apo,kwakweli pesa nnayo ila kidogo tu yakubadilisha mboga si nyingi kama kina ali mfuruti na kina juma ngaleko haga? sasa wanaume mnaojua au wanawake mnaotongozwaga mnachunaje mpaka mwanaume anatoboka maana naona wengi wanalia sana humu jf.Ahsanteni