Unaweza ukawa kweli lkn usiwe mkweli mwenye usahihi maana sometimes sio elimu ndo inakuwa pungufu bali mtu ndo anakuwa pungufu mbele ya elimu!.Masomo yote yanayohusu fedha yanayofundishwa mavyuoni na ukumbini na nyie MA motivation speakers ni fake. Kila tajiri ana siri yake ambayo hatamwambia mtu mpaka anaingia kaburini
Hivi hizo siri mnazosemea huwa mnamaanisha nini?Masomo yote yanayohusu fedha yanayofundishwa mavyuoni na ukumbini na nyie MA motivation speakers ni fake. Kila tajiri ana siri yake ambayo hatamwambia mtu mpaka anaingia kaburini
Yale anayoyasema tajiri mbele ya umma kumotivate watu ni unafiki tu. Siri anayo mfukoni.Hivi hizo siri mnazosemea huwa mnamaanisha nini?
Dili chafu au shirki?
Nitarudi
Imebidi nirudi kwenye biblia kutizama huu mstarii...[emoji122][emoji122]Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
Mhubiri 9:11
Imebidi nirudi kwenye biblia kutizama huu mstarii...[emoji122][emoji122]
Sawa...! Nadhan ni sawa mtoto anayeongoza darasani akae na mambumbu .lazima aact umbumbu..maana hata akisema someni watu watamwambia wewe kila siku unafaulu usituchosheYale anayoyasema tajiri mbele ya umma kumotivate watu ni unafiki tu. Siri anayo mfukoni.
Ni sawa na kiongozi aliyesoma kwa kuungaunga na kupiga chabo mpaka anamaliza University anapotembelea shuleni kwenu lazima atawaambia msome kwa bidii
Ni kweli maelezo yapo vizuri....Kiujumla mie nimependa huo mstari wa mhubiri.Kuna toleo la kiingereza limeelezea vizuri zaidi, nilipenda maelezo yake.
NLT
I have observed something else under the sun. The fastest runner doesn’t always win the race, and the strongest warrior doesn’t always win the battle. The wise sometimes go hungry, and the skillful are not necessarily wealthy. And those who are educated don’t always lead successful lives. It is all decided by chance, by being in the right place at the right time.
Ni kweli maelezo yapo vizuri....Kiujumla mie nimependa huo mstari wa mhubiri.
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
Mhubiri 9:11
🤔🤔Kwamba mambo haya yanakwenda sambamba na bahati.?Ndio namimi nipo hapa natafakari hichi kipande
"... It is all decided by chance, by being in the right place at the right time. "
🤔🤔Kwamba mambo haya yanakwenda sambamba na bahati.?
Ni sahihi kabisa wanaotuzunguka na vile tunavyovifanya kila siku vina mchango mkubwa katika maisha huku vikichagizwa na juhudi binafsi za uitafutaji....lakini bahati nayo haichezi mbaliTatizo lugha rafiki lugha, sasa sie tuliekimbia umande changamoto zinakua maradufu.
Najaribu kutafakari
1. Being at the right place.
2. At the right time
Nikajikuta nakumbuka ule usemi unapishana na gari la mshahara.
Yaani kila ukisikia jambo unakuta limeshapita muda au halina umuhimu tena, wakati mwenzako anapata hizo taarifawakati muafaka na kuzifanyia kazi zinamnufaisha.
Hapa swali linakuja, nini kifanyike kukufanya uwe at the right place at the right time? Je, inaathiriwa na marafiki au watu wanaokuzunguka? Ratiba zako na unavyopangilia mambo yako vina mchango kwenye hilo? Ndio tunarudi pale pale kwenye usemi wako, au ni bahati tu?
Ni sahihi kabisa wanaotuzunguka na vile tunavyovifanya kila siku vina mchango mkubwa katika maisha huku vikichagizwa na juhudi binafsi za uitafutaji....lakini bahati nayo haichezi mbali
Swali gumu, ila i'm not so sureHapo ulipo wakati huu unaona kama uko eneo muafaka kwa muda sahihi..?
Swali zuri mkuu, ndio maana Dr. Dispenza anasisitiza maisha ya present-future reality, the best way to predict our future is to create them and to live in present, hivyo tunaweza kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kubahatisha bahati zetu, otherwise tunaweza ishia kwenye rat race.Hapo ulipo wakati huu unaona kama uko eneo muafaka kwa muda sahihi..?