the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 218
Kunapokuwa na pesa hakuna kitu kinachoweza kushindikana katika mapenzi lakini kamwe pesa hauwezi kufanya muwe na furaha milele, ndio Maana hata mabilionaire wanaumizwa kwenye mapenzi, uzuri wa pesa kwenye mapenzi ni huu 'unauwezo wa kurudisha furaha pale mambo yanapoenda kombo, hii ni kweli kwa asilimia kubwa lakini haijadhibitishwa kitaalam...
Ndo mkazane kusaka pesa sasaDah...siyo siri...mwanaume ukiwa huna pesa utanyanywasa sana....hata kwata la kimyakimya hutalienjoy....dem akitoka tu utakuwa unadhani anachezeshwa tu huko alipo... wanaume wengi wasio na pesa na wako kwenye mahusiano hufa upesi sana....ndiyo maana waislam hawatoi binti yao hadi wawe na uhakika wa matunzo ya bint yao[emoji13] [emoji13]
Ina nafasi yake ikitumiwa vizuri, utu uwe mbele,pesa si kila kitu
hivi kwa wastani mwanamke anatakiwa atleast apewe shilingi ngapi kwa mweziPesa inaongeza furaha......
Hii ipo kisayansi mkuu ,, mwanamke ni kiumbe delicate na anahitaji ulinzi mda wote na kwa Sasa ulinzi ni pesa..!Kunapokuwa na pesa hakuna kitu kinachoweza kushindikana katika mapenzi lakini kamwe pesa hauwezi kufanya muwe na furaha milele, ndio Maana hata mabilionaire wanaumizwa kwenye mapenzi, uzuri wa pesa kwenye mapenzi ni huu 'unauwezo wa kurudisha furaha pale mambo yanapoenda kombo, hii ni kweli kwa asilimia kubwa lakini haijadhibitishwa kitaalam...
Kiasi kisichopungua 500,000 mshahara wa mwalimu bila makatohivi kwa wastani mwanamke anatakiwa atleast apewe shilingi ngapi kwa mwezi