Pesa feki

hahaaaa mwana umenikumbusha enzi hizoooo nakaa sinza asee jamaa ni nnoma lakini..! ila yule mwenzao anaumwa sana asee..!
 
asee sijui ila jamaa ni wa kuombea yani hali ni mbaya.......! Labda kama kuna mtu anafahamu jamani atujuze jamaa anaumwa nini..?
we bweg'e nini? Sasa umejuaje kama ana hali mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…