JF ni mtandao muhimu sana kwa ukombozi wa kweli wa taifa letu.
Wapo wanaodai kuwa majina bandia ya members yanaipunguzia sifa JF. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtandao wa kijamii duniani ambapo watu hutumia majina yao. Mimi naweza kujisajili fb kwa jina lolote. Ukienda gmail youtube yahoo nk wachangiaji hawahitaji kuthibitisha majina yao. Na mitandao hiyo hutumiwa na aljazeera cnn bbc nk. Big up JF.
Lakini pia big up Star tv kwa kuwa wao ni wa kwanza tz kuitumia mitandao ya kijamii ktk baadhi ya vipindi vyao