kwikwikwikwikwi weekend hiyooo
Hizo ni zaidi ya pumba.
Kikwete pamoja na weakness zake ni lazima tukubaliane kwamba ana personality nzuri sana, kwa namna nyingine anaonekana kama president. Ingawa kikwete hana kipaji cha akili kama Obama au Mkapa personality yake inamsaidia sana na kumuezesha kuweka urafiki na viongozi wa nje. Kuna wale tuliokuwa tunashangaa je ni kwa nini Kikwete akai nyumbani kutatua matatizo na badala yake anasafiri tu, nimepata jibu mwaka huu. Agenda ya kikwete ni kuomba misaada kwasababu amegundua hana uwezo wa mipango na uongozi lakini anakipaji cha kupendwa na kuwa na personality nzuri. Hakuna hata mradi mmoja alioanzisha kikwete hata huu wa afya ni Mkapa lakini kwa sababu Mkapa hana personality nzuri kama VP Cheney hata uwezo wake wa fikra na kipaji cha akini lakini hawapendwi. Kwa miaka hii ya media, video na picha image ya raisi inasaidia sana tunachoomba kikwete asiongee sana na badala yake aachie washauri maana anatoa pumba sana.
Teh...teh....teh,duhh! some things will never change.Kikwete anaonekana kama president. Ingawa kikwete hana kipaji cha akili kama Obama au Mkapa . Kuna wale tuliokuwa tunashangaa je ni kwa nini Kikwete akai nyumbani kutatua matatizo na badala yake anasafiri tu, nimepata jibu mwaka huu. Agenda ya kikwete ni kuomba misaada kwasababu amegundua hana uwezo wa mipango na uongozi lakini anakipaji cha kupendwa na kuwa na personality nzuri. Hakuna hata mradi mmoja alioanzisha kikwete hata huu wa afya ni Mkapa lakini kwa sababu Mkapa hana personality nzuri kama VP Cheney hata uwezo wake wa fikra na kipaji cha akini lakini hawapendwi. Kwa miaka hii ya media, video na picha image ya raisi inasaidia sana tunachoomba kikwete asiongee sana na badala yake aachie washauri maana anatoa pumba sana.
President Jakaya Kikwete
Au unachanganya ulimbwende na personality?[/QU
Makubwa hayo
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni JK anayo mambo mengi ambayo ameyafanya suala la kwenda kuomba misaada viongozi woote wameomba hata Rais wa awamu ya kwanza aliomba misaada hata huyo Mkapa naye aliomba misaadaKikwete anaonekana kama president. Ingawa kikwete hana kipaji cha akili kama Obama au Mkapa . Kuna wale tuliokuwa tunashangaa je ni kwa nini Kikwete akai nyumbani kutatua matatizo na badala yake anasafiri tu, nimepata jibu mwaka huu. Agenda ya kikwete ni kuomba misaada kwasababu amegundua hana uwezo wa mipango na uongozi lakini anakipaji cha kupendwa na kuwa na personality nzuri. Hakuna hata mradi mmoja alioanzisha kikwete hata huu wa afya ni Mkapa lakini kwa sababu Mkapa hana personality nzuri kama VP Cheney hata uwezo wake wa fikra na kipaji cha akini lakini hawapendwi. Kwa miaka hii ya media, video na picha image ya raisi inasaidia sana tunachoomba kikwete asiongee sana na badala yake aachie washauri maana anatoa pumba sana.
President Jakaya Kikwete
QUOTE]
Teh...teh....teh,duhh! some things will never change.
kuna watakaosema nimemsifia raisi na wengine nimemtukana raisi lakini kwa upande wangu nimeongea ukweli.
Hivi Kikwete katika watu wenye personality utamuweka? Au unachanganya ulimbwende na personality?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni JK anayo mambo mengi ambayo ameyafanya suala la kwenda kuomba misaada viongozi woote wameomba hata Rais wa awamu ya kwanza aliomba misaada hata huyo Mkapa naye aliomba misaada
Had it been he has some plausible strategies to stabilize his economy then that could have been understandable. Chinese have a say, 'Never give hungry men fish, but teach them how to fish and they'll never go hungry again'. JK anaomba samaki badala ya kuomba nyavu, shit!
Raisi hapimwi kwa sura nzuri.
President Jakaya Kikwetes efforts in promoting and executing sound and practical health programmes in Tanzania on Wednesday made him become the first African Head of State to receive a US Doctors for Africa award.