Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,841
- 15,078
Utapeleka sehemu ambayo wanafanyia service ili ijazwe tena gesi ya Carbondioxide. Hii kama air bag ikiisha tumika lazima ifanyiwe marekebisho tena.Vipi likisha jaa hewa na baada ya mtumizi linaweza kurudi kama mwanzo au ni matumizi ya mara moja tu?
Bila shaka hizi hazipo sana kwa matumizi ya raia wa kawaida. Hata kwenye masoko sijaziona kabisaUtapeleka sehemu ambayo wanafanyia service ili ijazwe tena gesi ya Carbondioxide. Hii kama air bag ikiisha tumika lazima ifanyiwe marekebisho tena.
Zipo kwa ajili ya matumizi ya kawaida, hizi ni maboresho ya kisasa kwenye life jacket.Bila shaka hizi hazipo sana kwa matumizi ya raia wa kawaida. Hata kwenye masoko sijaziona kabisa
Nashukuru kwa kulifahamu hiloZipo kwa ajili ya matumizi ya kawaida, hizi ni maboresho ya kisasa kwenye life jacket.
Kwenye chombo cha majini life jacket la kawaida ni lazima(Mandatory) yawepo kulingana na idadi ya abiria wanaoingia au kufanya kazi.
Kwenye meli za kisasa au baadhi ya kampuni wanatumia hizi kwa kuwa hazimpi uzia mtumiaji. Na sasa kuna PFD za kisasa ambazo unaweza ukaivaa kama saa ya mkononi endapo utaingia kwenye maji itaji activate na utaelea kama umevaa life jacket.
Kwa sasa hii ni kama luxury life jacket.Bila shaka hizi hazipo sana kwa matumizi ya raia wa kawaida. Hata kwenye masoko sijaziona kabisa