Kati ya Pc nilishawahi kuitumia ikadumu ni aina hii. Hadi leo ninazo mbili, moja ina miaka minne (4) sasa, inapeta tu. Tatizo la hizi device hutakiwi kabisa uihifadhi karibi na unyevu, ni adui mkubwa sana. PC hizi (kwa uzoefu nilioupata baada ya kuzitumia sana) huwa zinazima ghafla na kukataa kuwaka kabisa kama umeiabuse kwa kuihifadhi penye unyevu. Hata hivyo service yake ni simple sana, fupi na haina gharama sana.
kwa kifupi napenda sana hizi PC ndo maana nimefurahi baada ya kuona picha zake. Kiongozi ningekuwa sina lazima ningeichukua hiyo